Friday, December 30, 2016

Yamoto band ft Ruby - Su lyrics

We Ruby, karibu mkubwa na wanawe
We Ruby, karibu mkubwa na wanawe
We Ruby, karibu mkubwa na wanawe
We Ruby, karibu mkubwa na wanawe
Nachojua undugu ni ule wa damu, kuzaliwa tumbo moja
We na mimi hatunaga uharamu, basi punguza uoga
Nitakupa mapenzi matam tam, napendaga namba moja
Pilipili yawasha lakini tamu, tunapozaga na soda
Nitamshawishi mama ampende sana baba ako
Tutakuchezea chezea mdogo mdogo utazoea
Kupiga selfie, selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Kupiga selfie, selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Turubai nitandikie, na msham usimamie
We mtoto wa baba eh, eh, eh
Turubai nitandikie, na msham usimamie
We mtoto wa baba eh, eh, eh
Undugu kaunganisha baba kwa mama enu nyie
Mnapaswa mniite dada na mniheshimu mie
Undugu kaunganisha baba kwa mama enu nyie
Mnapaswa mniite dada na mniheshimu nyie
Kweli baba anaishi kwa mama yenu
Naomba sana mama yenu mniheshimu
Hili zizi la kondoo dume, we ni epo lazima uchumwe
Acha niombe kwa Mungu kidume, aje yeye
Suu, ntamwambia baba eh, ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua
Suu, ntamwambia baba eh, ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua sana
Ruby, mama kanambia nioe
(Nioe, nioe)
Ila mimi nataka nikuoe wewe Ruby
Ai Ruby! Basi punguzaga kiwewe
Niruhusu Ruby na mimi nikuite baby
(Hapana!)
Funika kombe mwanaharamu apite, apite
Mimi kwako wewe nitakifanya chochote (chochote)
Ruby si dada yangu kusema tumetoka wote
(Kwa mama yangu)
Ukinipenda hakitokei chochote
Pamparuma mlango wa chuma
Ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu
Ya nini kuweka usiku?
Pamparuma mlango wa chuma
Ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu
Ya nini kuweka usiku?
Wouwouwou wo
(Iyo mama)
Yoiyoiyoi iyo
(Iyo mama)
Mamee eh eh
Kwanza moja nikwambie
We unaendana na mie
Wengine we wakunjie
Ni mimi tu niwe na wewe
Nataka kukufurahisha baby
Komando nitalinda kidonda nzi wasije fonza
Nitaumia, nio iyoiyoyo
Usiku viwaga vinanitoka (ndio)
Ni siri ya bomba limefunguka (nini mwenzio)
Nahisi waniita (aah)
Mwenzio pakacha limefunguka
Hili zizi la kondoo dume, we ni epo lazima uchumwe
Acha niombe kwa Mungu kidume, aje yeye
Suu, ntamwambia baba eh, ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua
Suu, ntamwambia baba eh, ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua sana

No comments:

Post a Comment