[Chorus – Alikiba & Tundaman] x4
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh) ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh) ndo yule yule
[Verse 1 – Tundaman (& Alikiba)]
Si ndo yule yupo kwenye vigadi
Si ndo yule alomwaga pombe ya Madee
Si ndo yule anajiita mbeba lawama (ndo yule yule)
Si ndo yule fix, mtu wa diss
Wanamuhisi ana AIDS
Na uswazi anajiita ‘Ndizi Nyama’ (ndo yule yule)
Si ndo yule mrefu na ana shepu kidogo (ndo yule yule)
Anasema kwao Mbezi Beach kumbe Kigogo (ndo yule yule)
Si ndo yule mshamba Ommy kamuimbia ‘Tupogo’ (ndo yule yule)
Tena akivua wigi tu ana kichogo (ndo yule yule)

[Verse 2 – Alikiba (& Tundaman]
Labda ndo yule niliyekuona nae kitaani mlikuwa mkigombana (aan aa sio yule)
Ama ndo yule aliyeiba pesa zako wakati unaenda kuoga (Mh! sio yule)
Sasa nani mi simjui (hapana sio yule)
Wananichanganya mi siwaelewi (sio yule yule)
Nani? Nani, simjui (hapana sio yule)

[Verse 3 – Tundaman (& Alikiba)]
Ndo yule club we nusu apigane
Eti kisa mwanaume hakumpa chake (anhaa ndo yule!)
Ndo yule yule ambae hakosi club (kumbe ndo yule!)
Anatembea na vijana wee mpaka vibabu (ndo yule yule)
Aki-date na staa huandika kwenye kitabu (anhaa ndo yule!)
Alijichubua kama mwaarabu (ee ndo yule)
Ndo yule club we nusu apigane
Eti kisa mwanaume hakumpa chake (anhaa ndo yule!)
Ndo yule yule ambae hakosi club (kumbe ndo yule!)
Anatembea na vijana wee mpaka vibabu (ndo yule yule)
Aki-date na staa huandika kwenye kitabu (anhaa ndo yule!)
Alijichubua kama mwaarabu (ee ndo yule)
[Chorus – Alikiba & Tundaman] x4
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh) ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh) ndo yule yule
[Outro]
Anna Luza usijiulize mara mbili (ndo yule yule)
Chief Chief Kiumbe usiumize kichwa kifikiri (ndo yule yule)
Abdul Bonge, yule uliyemuoneshea kidole (ndo yule yule)
Ally Jani, yule uliyempiga jana (ndo yule yule)
Yooh! Kiba for real …
Mtoto wa ghetto, Tanzaniani boy
The gang’ta mula
Niko na Tunda Man, Sheddy Clever iiish
Burn Record, pop it in
(Burn Records!)

Mtu wa fix Tena dis mwanamwis ana AIDS
ReplyDelete