Thursday, July 21, 2022

Cheketua - Barnaba Classic Lyrics

 Cheketua - Barnaba Classic Lyrics

...

Nikupe habari

tangu ni rudi safari

nikakupata kimwali

tumeshinda zawadi

nitazungumza nae

bibi na babu wataridhia

siku ya ndoa shela wigi

mie kanzu na djambia

tumeshinda vizingiti

wambea hamtutishi

maneno yenu uchafu

yeye sabuni mie jiki

mtasubiri mazishi

sisi bado tunaishi

utamu wa wali nazi

uule na parachichi

ahii mwali wangu (cheketua)

we ndiwe tunu yangu (cheketua)

mbeba siri zangu (cheketua)

mwenye tamu yangu (cheketua)

ahii mama (cheketua)

tumetoka far away (cheketua)

waache waongee (cheketua)

maneno yao usijali

peke peke peke peke

I dedicate this song to you baby

my heart is for you baby

the boss! love is good baby

Verse 2 ( Alikiba )

nikupe oh nikupe oh mi-dollar

Arusha na Manyara ama nikupe Dar

nikupe fahari

nikupe dinari

nikupe bahari

samaki waishi mbali

roho zinawapinga

waambie ugonile

naaga nkasi wangu (boi boi boi boi)

tumeruka vizingiti

wambea hamtutishi

utamu wa wali nazi

uutafune na ndizi

nahisi mama asali yangu wehhh

aje mama mkwe

akupe na zawadi

ahii mwali wangu (cheketua)

we ndiwe tunu yangu (cheketua)

mbeba siri zangu (cheketua)

mwenye tamu yangu (cheketua)

ahii mama (cheketua)

tumetoka far away (cheketua)

waache waongee (cheketua)

maneno yao usijali

peke peke peke peke

papa papa mhh

ahii mama ahii mama

ahii mama ayeh peke peke peke

ahii waache waongee mhhh

peke peke peke peke

ahii mama

tumetoka far away(x2)

Barnaba

tausi ndege wangu (cheketua)

ndege wangu wa thamani (cheketua)

ndege uloshika mali (cheketua)

na vitu vyangu vya thamani (cheketua)

mie Adamu ye ndo Hawa (cheketua)

nipe tu mama (cheketua)

cheke cheke cheke (cheketua)

mhhhh (cheketua)

yaaahhhh

Mopao


For You - Marioo Lyrics

 


For You - Marioo Lyrics

...

Shi! aaaah ah, mmmh mh

(Sounds by Abbah)

Ah hii dunia kumbe tamu

Nilikuwa wapi kuenjoy wanadamu

Yaani dunia kumbe tamu

Mimi nilikuwa wapi mmmh

We unanipatia maana nilishalalia sana

Nakujikatia tamaa ooh lalale

Unavyonipatia ooh mama najifia

Ama umenipania ooh lalale

Aah baby you are my angel

Kwenye raha zamia mwenzio

Oh my gash, ah let me sing for you

Let me sing for you

Tarara tarara ta!

Ah mmmh tarara tarara ta!

Let me sing for you

Tarara tarara ta!

Ah I love you

Tarara tarara ta!

I love you aaah aaai..mmh

Kukuona faraja moyoni

Hata nikikosa kujaza tumbo

Kwa vichipsi sijali, oh yeah

Vile jinsi nina furaha moyoni

Nahisi kushiba hata mje kautumbo

Katanitosha kaugali, oh yeah

Unanipatia maana nilishalalia sana

Nakujikatia tamaa ooh lalale

Unavyonipatia ooh mama najifia

Ama umenipania ooh lalale

Aah baby you are my angel

Kwenye raha zamia mwenzio

Oh my gash, ah let me sing for you

Let me sing for you

Tarara tarara ta!

Ah mmmh tarara tarara ta!

Let me sing for you

Tarara tarara ta!

Ah I love you

Tarara tarara ta!

Aaah I'm in love with you aah aah..ooh

Tarara tara

(The Mix Killer)"

 

Wednesday, July 20, 2022

Komesha - Lava Lava Lyrics

 Komesha - Lava Lava Lyrics


Ye ye ye yeah

Sitojifanya maproso

Nikaja kukudanganya

Ukakumbuka before

Ntakupenda mpaka useme poo

Kwako nitang'ang'ana I'll never let you go

Mtegoni nimenasa ka tandabui kwa ukuta

Believe me I don't lie (I don't lie)

Nishaacha anasa nimeweka nukta

I'm ready to fly (I'm ready to fly with you baby)


Yeah mengi yatasemwa kwamba mimi ni player

Wanapenda tukigombana

Eti nakuchezea

Roho zawauma tumebaki kidedea

Twende tukiongozana

Wawili kama pair

Vunja kabati

Vunja kabati

Vaa pendeza nogesha tutoke

Baby vunja kabati oh

Komesha komesha (aristotee)

Fanya unajipinda pinda kata

Mugongo pinda pinda kata

Fanya unajipinda pinda kata

Mugongo pinda pinda kata


Ye ye ye yeah

Nshatafuta location twende vacation tujichimbie kiaina

Tupost makopa passion juice mango passion tukomeshe kina daina

You give me temptation mwendo wako motion

Kijungu ka brand china

Unapendeza bila fashion you're my perfection

Wala huhitaji designer

Sa go down cheza jeje (jeje)

Nyonga legeza lege (jeje)

Kiuno nfinyie kwa tege (jeje)

Nchanganyie rojo kwa zege (jeje)


Yeah mengi yatasemwa kwamba mimi ni player

Wanapenda tukigombana

Eti nakuchezea

Roho zawauma tumebaki kidedea

Twende tukiongozana

Wawili kama pair

Vunja kabati

Vunja kabati

Vaa pendeza nogesha tutoke

Baby vunja kabati oh

Komesha komesha (Aristotee)

Fanya unajipinda pinda kata

Mugongo pinda pinda kata

Fanya unajipinda pinda kata

Mugongo pinda pinda kata


Remix killer"

 

Kusah- Huba Lyrics

 Kusah- Huba Lyrics

Jamani huba limekolea moto lanichoma vibaya

Nataka muda niliwazue vyema nisifike pabaya

Naganda luba kanikwatua moyo kanishika pabaya

Nanina muda sijawah ona penzi kama lake

Ananifanya ka mtoto yani binuabinua mpka kwenye ndoto

Anang'ataga na mito alafu mm wake sinyorito

Uuyeee aah

Limekolea moto limekolea moto limekolea moto iyoo

Mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto mapenzi si ki toto

Husije basi ukaniacha soloo (mapenzi nayajuaa)

Mwenzio mm wataniona koloo(watanisema nitaumiaa)

Husije basi ukaniacha solo (presha itasumbua)

Wenzio mm wataniona kolo (iyeiyeiyeiye)

Mmmmh

Labda kuna ndumba aah sio bure au unanikoroga

Moyo unanidundadunda aah sio bure au unanikoroga

Nawaza labda sijiwezi labda

Au labda ni mapenzi labda

Nawaza labda nikizizi labda

Au labda umeniganda labda

Unanifanya ka mtoto yani binuabinua mpka kwenye ndoto

Anang'ataga na mito alafu mimi wake sinyorito

Uyee aaah

Limekolea moto limekolea moto limekolea moto iyoo

Mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto

Husije basi ukaniacha solo (mapenzi nayajua)

Wenzio mimi wataniona kolo (watanisema nitaumia)

Husije basi ukaniacha solo (presha itasumbua mama)

Wenzio mimi wataniona kolo (iyeiyee)

Siri ya penzi ni kushikana

Mimi nawe baby kupenda

Tukikosea kusameheana

Kwenye makosa kuambilizana baby

Tusilivunje penzi upepo ukazoa ikaenda na sunamii iyeiyeee


Husije basi ukaniacha solo

Wenzio mm wataniona kolo x2"

 

Niamini ft. Alikiba - Hamadai Lyrics

 


Niamini ft. Alikiba - Hamadai Lyrics

...

eyyoooo


oh beby mwezi hauishi takuvisha pete

niaamiiini

vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe

niaamiiini

takutunza takupamba umeremete

niaamiini

me kwako sina ujanja ah mpechempeche

niaamiini


CHORUS

beb niamini ,

beb niamini,

nakuomba niamini,

bebi niamini ,

niaminii ,oooh .., niamin

niaaminii


sasa hivi nkienda hata dem ctongozi

niaaminii

hata kulewa silewi namuogopa mwokozi

niaaminii

sitamani kuona ukilia takufuta machozi

niaaminii

takukanda kanda takunyoosha masozyy

niaminiii


CHORUS

beb niamini

beb niamini, nakuomba niamini

beb niamini

niamini, ooh,,.niamin

niaaminnii


tajenga sanamu lako pale posta wakipita wakuone

niaminiii

kwene shoo nitataja jina lako tu wenye wivu iwachome

niaaminii

mmmmhh, nakupeenda beeib

niaamiini

kama uamini nikupost beeib

niaamini



CHORUS

beb niamini

beb niamini , nakuomba niamini

beb niamini

niamini,, ooh niamini

niaamiinii


natamani nkupe mimba, kichefuchefu nibaki nacho mwenyew

niamiiini

ama niende Tandahimba, nkuchinjia mbuzi unielewe

niaamini

ukitaka nyimbo takuimbia kikongo, sonni wela

niaaminii

sitatumia fimboo, ukinkosea takuchapa na helaa

niaminii


CHORUS

beb niamini

beb niamini,,nakuomba niamini

beb niamiini

niamini,, ooh.. niamini

niaamiiiinnii


ukipata case ya kufungwa nipo radhi wanipeleke mimi jeller

niamiini

uta enjoy life bebee japokuwa hali yangu kabwela

niaaminii


talk to me

bas niamini

ooh beiby

.. niamini,. niamin oooh ,niamiiniiiii

niaaminii

.................

eyyoooo

yeap

.............

ye baba

eeeeh

ooooh

Hamadai

..... ,,,,,,,,,

NIAAMIINI"

 

Falling In Love ft. Jux - Maua Sama Lyrics ...

 


Falling In Love ft. Jux - Maua Sama Lyrics

...

Oh my God I’m falling for you

I just wanna give you the truth

The day that I met you

I knew you’d fit my shoe

Wangu ni wewe tu

My baby you

Anything you want niambie my love

Whenever you feeling down

I’ll be there for you

I need you forever, not only for today

You can take me whenever

We can go far away oooh

I’m falling in love

I’m falling in love (baby I)

I’m falling in love

I’m falling in love

Ouuuuhhhh

Ouuuuhhhh

Mwenzenu sikujua mapenzi ya kweli yapo hivi

Me sikujua nitapenda kama hivi

Maishani mwangu sikujua mapenzi yapo zama hizi

Leo nimegundua yanaweza nipa uchizi

When I wake up every morning and I see your face

Your smile makes me feel so blessed

My African queen, no one can replace you

When I wake up every morning and I see your face

Feel good when you lay on my chest

African queen, no one can replace you

Anything you want niambie my love

Whenever you feeling down

I’ll be there for you

I’m falling in love (I’m falling hey for you)

I’m falling in love (baby I)

I’m falling in love

I’m falling in love

Ouuuuhhhh

Ouuuuhhhh

Turururuhuhuuuu

Turututuhuuuhuhu huuu

Tutututu huhuhuhu

Hey ooh nana heeeeyyy"

 

Nioneshe ft. Alikiba - Maua Sama Lyrics

 


Nioneshe ft. Alikiba - Maua SamaLyrics

...

Hey baby I'll tell you this

This is for me and you

You know I love you, right?

We have focus on our mission

Please don't listen to them

Ooh baby, 

Ukinigusa nyang'a nyang'a

Mwenzako sijiwezi

Mimi kipofu napapasa juu yako

Nahisi hakuna amani

Nisipokuona nyumbani

Moyo unajawa tafarani

Kwichi kwichi chumbani

Haziishi kichwani

Hasa pale ukiwa mbali nami

Chochea kuni kwa kishindo

Jiko lako ni mimi

Unipe joto joto penzi kwenye baridi

Nitang'ang'ana nawe nitabaki nawe

Sitokuacha mpweke

Shika nishikilie, usiniache mimi

Chunga wasiniteke

Honey mimi kwako nazima taa

Nitafune unavyotaka

Kiuno si dimba chakacha

Serebuka unavyotaka eeiii

Oh nionyeshe aaah niweke eh tepete please show me

Nionyeshe ooh girl niweke ah tepete mwendo uleule

Nionyeshe aah niweke girl tepete show me

Nionyeshe live niweke ah tepete mwendo uleule

(Kimambo on the beats)

I like the way I touch your body

I like the way I touch your body

I like the way I touch your body oh no oh no

Sina kauli kwako

I don't know what to say

Utundu wako unauweza show

Kiukweli unanijali mpaka naiota oh mamilooh

I like the way I touch your body

I like the way I touch your body

I like the way I touch your body oh no oh no

Honey mi kwako nazima taa

Nitafune unavyotaka

Kiuno si dimba chakacha

Serebuka unavyotaka eeiii

Oh nionyeshe aaah niweke eh tepete please show me

Nionyeshe oh girl niweke ah tepete oh tepetepe

Nionyeshe aah niweke oh tepete show me

Nionyeshe live iweke ah tepete mwendo uleule"

 

In Love ft. AliKiba - Otile Brown Lyrics

 


In Love ft. AliKiba - Otile Brown Lyrics

...


Ivi upo single ama ushawahi oa,

Pendo la mitindo kama Rose Heart,

Shavuni hizo dimples hazijaniacha salama,mama

Ulivyo simple haujapaka hata mascara.


Nasema eh eh eh kiface hana hata pimple,

Ndefu yake shingo, kiuno kama siti ya lincoln,

Macho yake kama ya Chinku.


Cause you are beautiful mama,

Me naomba tujuane,

Baadae tuonane,

Huenda tufaane,

Huenda tupendane.


Cause you are beautiful mama,

Me naomba tujuane,

Baadae tuonane,

Huenda tufaane,

Huenda tupendane.


I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)

I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)


I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)

I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)


Acha kubana, kubana

Kubana kubana ku

Acha kubana, kubana

Kubana kubana ku


Two hearts too fine

Let me give real love tonight

Two hearts too fine

Let me give real love tonight


Sina sababu ya uongo

I just a give you


I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)

I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)


I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)

I guess am in love, in love

Am in love (In love with you)


Acha kubana, kubana

Kubana kubana ku

Acha kubana, kubana

Kubana kubana ku"

 

Sugar - Jay Melody lyrics

"Lyrics
Sugar - Jay Melody
...
heeeeee
onanaana
(mocko)
sweet like kupa tamu Sana
Sweet like soup am going to die
kwenye dimbwi sijiwez nimezamaa
Mi corazon my baby banana aa
Penzi hulifichi Kama ni sindano itachomaaa
Mi siambiliki hata wakaniroge kigomaaaa
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaaa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina Jambo kwajinsi umenikamataa
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
mmmmh my life is nothing without you
Sugar sugar sugar
mmmmh mmmmh
Nikoleze my darling
Na tukichoka tukalaleee
Wanasema hatareeee
Lkn mm nimekubali kileleni ndio paleee
Basi tufike sare sareee
Shika ndizi meshaleee
Nikuvue Kama kambaleeee
Vile hawapumuiii
Wakelekwe maadui
Hao wanafikiii
Watajua hawajuii
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaaa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina Jambo kwajinsi umenikamataa
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
mmmmh my life is nothing without you
Sugar sugar sugar
mmmmmh
onanaana
mocko genius
added by
Prince wa kigoma
"
 

Nakupenda - Jay Melody Lyrics

 Nakupenda - Jay Melody Lyrics

...

Iwe giza baridi na upepo

iwe kuna mawingu na minyesho

your body baby joto


unafanya nijihisi special

unanipa sababu ya uwepo

kando yako we mtoto

my desire

we nipe dawa

mi mahututi

sijielewi ooh my god



shida ni nimekolea penzini

shida ni baby uko moyoni

wewe



nakupenda we

nakutaka we

kwako sijiwezi

oooh my love


mpenzi we

roho yangu we

kwako sjiwezi

oooh my love



Akili mwili baby

hasira yangu navituliza

ukiongea nasikiliza yote

sababu ya upendo


pili pili baby

vindimu chumvi ya kunyunyiza

yani uroda kupitiliza

nimeumaliza mwendo


kiukweli

napendwa

nachanganywa

na haya ma-raha


Shida ni nimekolea penzini

shida ni baby uko moyoni

wewe


Nakupenda we (anhaa)

nakutaka we (oh nana nana)

kwako sijiwezi

oooh my love (oooh my baby)


Mpenzi we (ooh nonono)

roho yangu we(aaah yayaya)

kwako sijiwezi (ooh uoh)

oooh My love (oooh naneh)"

 

Nikikuona ft. Alikiba - Nay Wa Mitego lyrics

 


Nikikuona ft. Alikiba - Nay Wa Mitego lyrics

...

koo unanikosha we ndo faraja yangu usawa huu

wengine walini tocha kisa sinavyangu tembea kwa miguu

mungu fundi ameniletea wewe

unavyo nikata nakwita kiwemba

ukiwa shambani unanitaga jembe


ukichoka bongo twende kwa Madiba

nau Papa bongo watakuiba

jinsi ulivyo mzuri unanipa shida

nanilivyo na manguvu si ntawapiga


I'me love I'me love I'me love I'me love too

I'me love I'me love I'me love I'me love too


nikikwona na sweeti ayayaa

kabla ujani petipeti .ayaya

wendo yangu every Tait ayaayaa

ayayaaaha


nikikwona na sweeti ayayaa

kabla ujani petipeti .ayaya

wendo yangu every Tait ayaayaa

ayayaaaha

ume go yo fire moyoni wangu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana

ulivyo mget Tayd walojalibu kukuiba Nisha wafanya kitu mbaya


bby you change my life ikitokea tukiacha

mungu akupe good life Imani yangu inanituma mpaka mauti wewe ndyo wife

sipendelei ugomvi alafu jua uki fite


mama unaniweka roho juju

nataka twende town kwa miguu

penzi lako noma changanya na jujuu

nakama Shure wewe ni Shure kuu

ukichoka bongo twende kwa Madiba

nau Papa bongo watakuiba

jinsi ulivyo mzuri unanipa shida

nanilivyo na manguvu si ntawapiga


I'me love I'me love I'me love I'me love too

I'me love I'me love I'me love I'me love too


nikikwona na sweeti ayayaa

kabla ujani petipeti .ayaya

wendo yangu every Tait ayaayaa

ayayaaaha



nikikwona na sweeti ayayaa

kabla ujani petipeti .ayaya

wendo yangu every Tait ayaayaa

ayayaaaha


mama unaniweka roho juju

nataka twende town kwa miguu

penzi lako noma changanya na jujuu

nakama Shure wewe ni Shure kuu

ukichoka bongo twende kwa Madiba

nau Papa bongo watakuiba

jinsi ulivyo mzuri unanipa shida

nanilivyo na manguvu si ntawapiga


ume go yo fire moyoni wangu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana

ulivyo mget Tayd walojalibu kukuiba Nisha wafanya kitu mbaya


nikikwona na sweeti ayayaa

kabla ujani petipeti .ayaya

wendo yangu every Tait ayaayaa

ayayaaaha