Kusah- Huba Lyrics
Jamani huba limekolea moto lanichoma vibaya
Nataka muda niliwazue vyema nisifike pabaya
Naganda luba kanikwatua moyo kanishika pabaya
Nanina muda sijawah ona penzi kama lake
Ananifanya ka mtoto yani binuabinua mpka kwenye ndoto
Anang'ataga na mito alafu mm wake sinyorito
Uuyeee aah
Limekolea moto limekolea moto limekolea moto iyoo
Mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto mapenzi si ki toto
Husije basi ukaniacha soloo (mapenzi nayajuaa)
Mwenzio mm wataniona koloo(watanisema nitaumiaa)
Husije basi ukaniacha solo (presha itasumbua)
Wenzio mm wataniona kolo (iyeiyeiyeiye)
Mmmmh
Labda kuna ndumba aah sio bure au unanikoroga
Moyo unanidundadunda aah sio bure au unanikoroga
Nawaza labda sijiwezi labda
Au labda ni mapenzi labda
Nawaza labda nikizizi labda
Au labda umeniganda labda
Unanifanya ka mtoto yani binuabinua mpka kwenye ndoto
Anang'ataga na mito alafu mimi wake sinyorito
Uyee aaah
Limekolea moto limekolea moto limekolea moto iyoo
Mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto mapenzi si kitoto
Husije basi ukaniacha solo (mapenzi nayajua)
Wenzio mimi wataniona kolo (watanisema nitaumia)
Husije basi ukaniacha solo (presha itasumbua mama)
Wenzio mimi wataniona kolo (iyeiyee)
Siri ya penzi ni kushikana
Mimi nawe baby kupenda
Tukikosea kusameheana
Kwenye makosa kuambilizana baby
Tusilivunje penzi upepo ukazoa ikaenda na sunamii iyeiyeee
Husije basi ukaniacha solo
Wenzio mm wataniona kolo x2"
No comments:
Post a Comment