Saturday, January 2, 2021

Darassa Ft Sho Madjozi I Like It lyrics

 Classic music


(Abbah)


She call me on my phone anakuja gheto

Nataka kuja gheto

Anajua napikaga vitu special

Special for you girl

The way unanizimaga michecheto

Tuliza akili mento

Ukinipa usiku nipe mpaka kesho

Kesho kesho kesho


One time

Show me what your mama give ya

Two time

I put all my money on you

Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu

You know I like it

Ukitaka tuendeshe utembee kwa miguu

You know I like it

Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu

You know I like it

I give you all everything when I do my tings with you

You know I like it


Iyah

Sho

Madjozi

Mi kama mimi napenda mi sichezi wuh wuh wuh

Nataka mapenzi

Mi siangalii mapesa ama benzi wuh wuh wuh

Nataka my babe

Nitoke hapa nitakwenda wapi wapi

Mapenzi yangu na wewe I’m happy happy

You make me go down katikati

You make me sing ooh laddy daddy


Simama inuka juu nikupe tuzo

Mapenzi yamekaza gongelea na nyundo

Waswahili na maneno yenye uvundo

Are you talk about my girl hebu niondolee utumbo

I say she’s my future

Sweet bamboocha

Wanga mtajuta

Kaeka ukuta

Nampa taratibu

Nampa puta puta

Anapenda mwendo ukanyage mafuta


Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu

You know I like it

Ukitaka tuendeshe utembee kwa miguu

You know I like it

Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu

You know I like it

I give you all everything when I do my tings with you

You know I like it


Hands in the air one time

Hands in the air two time

We will always have a party like

Hands in the air one time

Hands in the air four time

We will always have a party like


One time

Show me what your momma give ya eeh

Two time

I put all my money on you


You know I like it

You know I like it

You know I like it

You know I like it


The mix killer (Abbah)


Sunday, December 27, 2020

PROUD OF YOU DARASSA FT ALIKIBA LYRICS

 ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH

 DARASSA YOU MAKE A MAN WAWAWA, WOMAN WHY YOU DO ME LIKE LALALA LIKE THAT, YOU MAKE ME SING NANANANA,SHE GOT THAT BOOTY KAMPA MAMA MAPENZI YANAWEZA KUTIPUWA JANGWANI, MAPENZI HAYADANGANYANI USIFANYE UTANI, SHIKWA NA POLISI UTAFUNGWA UKAE NDANI, YAKIKUSHIKA MAPENZI MAMBO HADHARANI NIKUBEBE MGONGONI NIKUZUNGUSHE MTAANI AU FUNGUA MOYO NDANI UONE THAMANI NO GAME, GAME OVER NIME SURRENDER, SINA, SINA SERA SINA AGENDA SINA PAKWENDA, MTU UKIPENDA DANGER, UNAWEZA KUSAGA CHUMA KWA BLENDER

 

 ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH

 

 ALI KIBA

 

 TOO MUCH SWEET, UNAPO TABASAMU HUNISHI HAM, MY LEMON MY SUGAR SUGAR TAMTAM, I'M PROUD OF YOU MY WOMAN, MI SIOGOPI EEH, NA WE NDIYO NYOTA YA KAMCHEZO NI GHARAMA HAKUNA CHA DEZODEZO WAAMBIE WE KWANGU USHATULIA BILA YA KIUNGULIA.

 DARASSA 

 ANACHOTAKA ANAPATA POCHI NAMNUNULIA, NAMWAGA MANOTI NAHUDUMIA, HAITAJI TOCHI NAMMULIKIA KASHAVUA UPWEKE KAVUA KOTI NAMKUMBATIA, I NEED YOU BY MY SIDE, NEED YOU IN MY LIFE GIRL I WANNA MARRY YOU, CAN YOU BE MY WIFE SIKUMWAGII SERA ZA KUJA KUKULAGHAI, ME I TELL YOU NO LIE WALLAHI MAMA I'M DIE UNANIPANDISHA MIZUKA ZUKA, NARUKA RUKA MATUTA TUTA SIFA NYINGI ZA KUKUPA NAKUPA, MWENDO KAMA UMEJISUSA UNAJITUPA FUNGA KAZI NAMBA MOJA TOP TOP KOTE MWANAMKE USWAZI ANAJUWA SOP SOP CHOCHOTE ANACHOVAA KINAMFAA DOPE DOPE KWAKE AKIINUKA AKIKAA NI BALAA OH OH!!! 

 ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH OUTRO COME STAS, NIKO NA DARASSA, YE BABAA!!! OOHLALA! ABBAH, ABBAHBABA!!! VITU VITAMU NDIYO VINAGHARAMIWA