Kwa ile imani ya enzi za kale,
Mi niliamini nitakufa nawe ,
ila mimi sikulaumu wewe ,
kwani mungu ndiye apangaye,
Yale yote ya zama za kale,
me nilipanga kuishi na wewe ,
mwenye ali nisiye na mali,
wenye mali wakawa na wewe,
hukunificha matendo yako ,
machafu uliniacha nione,
Bila kujua yalisaidia,
nikazoea ila nikaumia ,
(Refrain)
Sababu bado nakuhitaji ,
kwangu muhimu ni kama maji ,
cha ajabu bado nakuhitaji ,
aje kutenda ndio kwangu mimi,
(Yaani maumivu burden) x3
(Yale)x2 burden ,
yaani maumivu burden,
licha ya mawazo every day ,
yaani maumivu burden ,
yale yale every day
(Yaani maumivu burden,maumivu burden
Yaani maumivu burdenx2oh oh burden)x2
Maumivu yale burden,maumivu (burden)x3
Verse2
Uko moyoni mwangu every day,
bado namuomba mungu everyday
Uko moyoni mwangu every day,,
every day,every, every day
nisikuwaze wewe niwaze mengine,
labda nitakuja penda mwingine,
ninavyopata taabu ya dunia,
na mwili wangu umekwisha pia,
yote malipo ya kupenda ,
anayependa mwishowe atatendwa,
(refrain)
Thats the correction, not major though.