THURSDAY, 12 MAY 2016
AJE LYRICS BY ALIKIBA FT M.I
(Ooohwai)
VERSE 1
Cheze na sauti,
amenifanya namisi tu,
Mwambie asiogope, Ali ni kipenzi cha watu,
Tafanya party nyumbani,
hiyo yote kwa ajili yake,
Tena asije pekee yake, asiogope aje na wenzake…
Tafanya party nyumbani,
hiyo yote kwa ajili yake,
Tena asije pekee yake, asiogope aje na rafiki zake eeeh
CHORUS
Basi mwambie oh aje
Aje oh aje
aje na rafiki zake(aje)
asije pekee yake(aje)
oh aje ahe oh aje
Aje jamani aje
VERSE 2
Uzuri wake timilifu,
ushamwona na watu mawifu tu,
Kina wema sepetu,
Nkaomba namba kanishushwa shu.
(Ilinikosesha raha,
Lulu naye kamdanganya kwamba mi ni wa kwake
aniogope tena asinichekee eehx2 )
CHORUS
Basi mwambie oh aje(aje)
Aje aje na rafiki zake (aje)
asije pekee yake(aje)
oh aje ahe oh aje
Aje jamani aje
Aje na
VERSE 3
Ase….Am gonna marry you one day,
come through baby girl I just want us to speak,
si we met on a Monday,
you must be next one day coz you make it one week,
you must have been to west side,
Forget whatever you see on Hollywood films,
I wanna be your best guy,
So let’s try to DE testify no one is better than them,
So baby give me your digits,
let me Google location come and visit,
You should show world there is something exquisite,
I can come over to yours girl where easy,
you can teach me speak in Swahili,
like sawasawa” mambo vipi”
can you tell that am feeling you really
Alikiba and MI ma baby
(CHORUS)
come through baby…(AJE)
want you to come through baby…x4
Thats the correction, not major though.