ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH
DARASSA YOU MAKE A MAN WAWAWA, WOMAN WHY YOU DO ME LIKE LALALA LIKE THAT, YOU MAKE ME SING NANANANA,SHE GOT THAT BOOTY KAMPA MAMA MAPENZI YANAWEZA KUTIPUWA JANGWANI, MAPENZI HAYADANGANYANI USIFANYE UTANI, SHIKWA NA POLISI UTAFUNGWA UKAE NDANI, YAKIKUSHIKA MAPENZI MAMBO HADHARANI NIKUBEBE MGONGONI NIKUZUNGUSHE MTAANI AU FUNGUA MOYO NDANI UONE THAMANI NO GAME, GAME OVER NIME SURRENDER, SINA, SINA SERA SINA AGENDA SINA PAKWENDA, MTU UKIPENDA DANGER, UNAWEZA KUSAGA CHUMA KWA BLENDER
ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH
ALI KIBA
TOO MUCH SWEET, UNAPO TABASAMU HUNISHI HAM, MY LEMON MY SUGAR SUGAR TAMTAM, I'M PROUD OF YOU MY WOMAN, MI SIOGOPI EEH, NA WE NDIYO NYOTA YA KAMCHEZO NI GHARAMA HAKUNA CHA DEZODEZO WAAMBIE WE KWANGU USHATULIA BILA YA KIUNGULIA.
DARASSA
ANACHOTAKA ANAPATA POCHI NAMNUNULIA, NAMWAGA MANOTI NAHUDUMIA, HAITAJI TOCHI NAMMULIKIA KASHAVUA UPWEKE KAVUA KOTI NAMKUMBATIA, I NEED YOU BY MY SIDE, NEED YOU IN MY LIFE GIRL I WANNA MARRY YOU, CAN YOU BE MY WIFE SIKUMWAGII SERA ZA KUJA KUKULAGHAI, ME I TELL YOU NO LIE WALLAHI MAMA I'M DIE UNANIPANDISHA MIZUKA ZUKA, NARUKA RUKA MATUTA TUTA SIFA NYINGI ZA KUKUPA NAKUPA, MWENDO KAMA UMEJISUSA UNAJITUPA FUNGA KAZI NAMBA MOJA TOP TOP KOTE MWANAMKE USWAZI ANAJUWA SOP SOP CHOCHOTE ANACHOVAA KINAMFAA DOPE DOPE KWAKE AKIINUKA AKIKAA NI BALAA OH OH!!!
ALI KIBA (CHORUS) ULIVYO JIDAMBIKA OH MAMA, YANI WE NDIO MY WOMAN, PITA MBELE WAKUSHANGAE I'M PROUD OF YOU MY WOMAN,MI SIOGOPI EEH, WEWE NDIYE WA MOYOOO PAMBIOOO, NA HAKIOMBEKI YAMKIOO FAGIOOO OHH OHH FAGIOOO EEH EEH FAGIOOO OHH OHH EEH EEH OUTRO COME STAS, NIKO NA DARASSA, YE BABAA!!! OOHLALA! ABBAH, ABBAHBABA!!! VITU VITAMU NDIYO VINAGHARAMIWA
No comments:
Post a Comment