Nakupenda - Jay Melody Lyrics
...
Iwe giza baridi na upepo
iwe kuna mawingu na minyesho
your body baby joto
unafanya nijihisi special
unanipa sababu ya uwepo
kando yako we mtoto
my desire
we nipe dawa
mi mahututi
sijielewi ooh my god
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni
wewe
nakupenda we
nakutaka we
kwako sijiwezi
oooh my love
mpenzi we
roho yangu we
kwako sjiwezi
oooh my love
Akili mwili baby
hasira yangu navituliza
ukiongea nasikiliza yote
sababu ya upendo
pili pili baby
vindimu chumvi ya kunyunyiza
yani uroda kupitiliza
nimeumaliza mwendo
kiukweli
napendwa
nachanganywa
na haya ma-raha
Shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni
wewe
Nakupenda we (anhaa)
nakutaka we (oh nana nana)
kwako sijiwezi
oooh my love (oooh my baby)
Mpenzi we (ooh nonono)
roho yangu we(aaah yayaya)
kwako sijiwezi (ooh uoh)
oooh My love (oooh naneh)"
No comments:
Post a Comment