Cheketua - Barnaba Classic Lyrics
...
Nikupe habari
tangu ni rudi safari
nikakupata kimwali
tumeshinda zawadi
nitazungumza nae
bibi na babu wataridhia
siku ya ndoa shela wigi
mie kanzu na djambia
tumeshinda vizingiti
wambea hamtutishi
maneno yenu uchafu
yeye sabuni mie jiki
mtasubiri mazishi
sisi bado tunaishi
utamu wa wali nazi
uule na parachichi
ahii mwali wangu (cheketua)
we ndiwe tunu yangu (cheketua)
mbeba siri zangu (cheketua)
mwenye tamu yangu (cheketua)
ahii mama (cheketua)
tumetoka far away (cheketua)
waache waongee (cheketua)
maneno yao usijali
peke peke peke peke
I dedicate this song to you baby
my heart is for you baby
the boss! love is good baby
Verse 2 ( Alikiba )
nikupe oh nikupe oh mi-dollar
Arusha na Manyara ama nikupe Dar
nikupe fahari
nikupe dinari
nikupe bahari
samaki waishi mbali
roho zinawapinga
waambie ugonile
naaga nkasi wangu (boi boi boi boi)
tumeruka vizingiti
wambea hamtutishi
utamu wa wali nazi
uutafune na ndizi
nahisi mama asali yangu wehhh
aje mama mkwe
akupe na zawadi
ahii mwali wangu (cheketua)
we ndiwe tunu yangu (cheketua)
mbeba siri zangu (cheketua)
mwenye tamu yangu (cheketua)
ahii mama (cheketua)
tumetoka far away (cheketua)
waache waongee (cheketua)
maneno yao usijali
peke peke peke peke
papa papa mhh
ahii mama ahii mama
ahii mama ayeh peke peke peke
ahii waache waongee mhhh
peke peke peke peke
ahii mama
tumetoka far away(x2)
Barnaba
tausi ndege wangu (cheketua)
ndege wangu wa thamani (cheketua)
ndege uloshika mali (cheketua)
na vitu vyangu vya thamani (cheketua)
mie Adamu ye ndo Hawa (cheketua)
nipe tu mama (cheketua)
cheke cheke cheke (cheketua)
mhhhh (cheketua)
yaaahhhh
Mopao
No comments:
Post a Comment