[Intro: Mr Blue]
I say pisha, mi nataka kuwakilisha
Bisha, wanga leo nimefika
Kisha, niko na wangu wa maisha
Kwa kumuomba Jah, sauti imesikika
Mauti hijanifika
Namshika mkono niko nae kila dakika
Ananipa mengi na mengine kadhalika
Tumetoka far bado sijabadilika
Mpaka siku ya mwisho pale ntapohitajika
One, atalia machozi ya damu kwa kunikosa shujaa
Ladha hizi tamu hutazipata tena maa
Na, na, na, na
I say pisha, mi nataka kuwakilisha
Bisha, wanga leo nimefika
Kisha, niko na wangu wa maisha
Kwa kumuomba Jah, sauti imesikika
Mauti hijanifika
Namshika mkono niko nae kila dakika
Ananipa mengi na mengine kadhalika
Tumetoka far bado sijabadilika
Mpaka siku ya mwisho pale ntapohitajika
One, atalia machozi ya damu kwa kunikosa shujaa
Ladha hizi tamu hutazipata tena maa
Na, na, na, na
[Verse 1: K-Lyinn]
Nina furaha kuwa hai leo
Maisha ni matamu usilalamike
Ningekufa wala mimi na wewe
Tusingejuana na kupendana
Nisingenusurika ajali baby
Nisingewahi kuhisi raha
Ningewezaje kusema kwamba
Nimeshapenda na ninapenda
Siamini kabisa kama naota
Nilijua kamwe sitokupata
Roho inadunda ukinishika
Na uhakika na wewe pia
Hold me baby, don’t let go
Be my hubby, don’t let go
Be my lover, be my baby
On and on and on
Nina furaha kuwa hai leo
Maisha ni matamu usilalamike
Ningekufa wala mimi na wewe
Tusingejuana na kupendana
Nisingenusurika ajali baby
Nisingewahi kuhisi raha
Ningewezaje kusema kwamba
Nimeshapenda na ninapenda
Siamini kabisa kama naota
Nilijua kamwe sitokupata
Roho inadunda ukinishika
Na uhakika na wewe pia
Hold me baby, don’t let go
Be my hubby, don’t let go
Be my lover, be my baby
On and on and on
[Chorus: K-Lyinn] x2
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Ishi nami siku zote
[Verse 2: Mr Blue]
Come down njoo tusali pamoja
Nkushike, unishike tuepuke ajali ki-soldier
Sio huzuni furahia maisha yako
Uko nami sio muhuni mkweli wa penzi lako
Mbele ya mom na-kiss na lips zako
Mbele ya dad tuna-bang kama Nako
Nakuchukua tunasonga, tunaenda zetu mbali
Nyuma watu wanachonga, sisi hatujali
Nahitaji kuitwa boyfriend, we ndo my girlfriend
Njoo nikuchukue tuka-chill this weekend
Iwe mbali au karibu sio issue
But I miss you, ciao!
Come down njoo tusali pamoja
Nkushike, unishike tuepuke ajali ki-soldier
Sio huzuni furahia maisha yako
Uko nami sio muhuni mkweli wa penzi lako
Mbele ya mom na-kiss na lips zako
Mbele ya dad tuna-bang kama Nako
Nakuchukua tunasonga, tunaenda zetu mbali
Nyuma watu wanachonga, sisi hatujali
Nahitaji kuitwa boyfriend, we ndo my girlfriend
Njoo nikuchukue tuka-chill this weekend
Iwe mbali au karibu sio issue
But I miss you, ciao!
[Verse 3: K-Lyinn]
Wajua baby
You’re the best unanipa penzi, nivopenda
Kama vile unanisoma, come nikupe love
Wajua baby
You’re the best unanipa penzi, nivopenda
Kama vile unanisoma, come nikupe love
[Chorus: K-Lyinn] x2
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
[Bridge: K-Lyinn]
Maisha haya, yangekuwaje
Kama ningekufa, sijakutana na wewe
Ingekuwaje, ingekuwaje baby
Ingekuaje on and on and on
Maisha haya, yangekuwaje
Kama ningekufa, sijakutana na wewe
Ingekuwaje, ingekuwaje baby
Ingekuaje on and on and on
[Chorus: K-Lyinn] x4
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
Nipe mkono usiniache
Ishi nami siku zote
Nipe moyo wako wote
Mi amore
No comments:
Post a Comment