Friday, December 30, 2016

OMMY DIMPOZ Feat ALIKIBA - NAI NAI. lyrics

[Verse 1 – Ommy Dimpoz]
Nai nai, haki ya Mungu walai ninakuzimia
I was shy, shy, do you remember that day niliyokutokea?
Wanasema why, why, penzi lako sikatai limenikolea
Ushanitoa nishai, shai, wengine hawafai nimejionea
Ai nyota haing’ai, ng’ai, bila we haing’ai unaniwezea
[Bridge – Ommy Dimpoz]
Jamani, why (why), why (why), why (why)
I feel to die (die), die (die), die (die)
Jamani, why (why), why (why), why (why)
[Chorus – Alikiba]
Nai nai, ukinikubali sikatai, jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai, nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind, fujo zinanimaliza
Always in my mind, always in my mind
[Verse 2 – Ommy Dimpoz]
Shopping iwe China au Dubai, nitagharamia
Walosema haufai, wako wapi walaghai, wangetupania
Mwenzio najidai, ai, kuwa nawe najidai, nakupenda dear
Nipe nifurahi, nipe yote nifurahi, wangu malikia
Motema nangai,ngai, usukari ninywe chai, umenikolea
[Bridge – Ommy Dimpoz]
Jamani, why (why), why (why), why (why)
I feel to die (die), die (die), die (die)
Jamani, why (why), why (why), why (why)
[Chorus – Alikiba]
Nai nai, ukinikubali sikatai, jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai, nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind, fujo zinanimaliza
Always in my mind, always in my mind
[Bridge 2 – Alikiba]
Oh you’re always in my mind
You’re always in my mind
You’re always in my mind
You’re always in my mind
Hey oh you’re always in my mind
Oh I need you
You’re always, you’re always in my mind
You’re always… yeah
[Chorus – Alikiba]
Nai nai, ukinikubali sikatai, jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai, nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind, fujo zinanimaliza
Always in my mind, always in my mind
You’re always in my mind

No comments:

Post a Comment