[Verse 1]
Leo mi nina hamu
Na binti wa kizaramo
Nasikia kashavunja ungo amekuwa binti wa makamo
Cheki chuchu sindano, mzuri hana mfano
Alivyoumbika nyuma kaumuka
Kama hamira na ngano
[Chorus]
I can never regret, on the booty I’m ready to bet
Let’s whine my darlin, you so fine
Especially when you rotate
I can never regret, on the booty I’m ready to bet
Let’s whine my darlin, you so fine
Baby, just whine your body
(Back it up, back it up, back it up)
Oh whine it for me
(Zungusha, zungusha, zungusha)
Oh whine your body
(Back it up, back it up, back it up)
Oh whine it for me
(Zungusha, zungusha, zungusha)
[Verse 2]
Nishampa utamu, kapagawa na pambano
Kitandani naitwa Mayweather, kama vichache vitano
Penzi letu mfano, kwa yetu maelewano
Hataki tuachane zianze beef, kama Wema na Diamond
[Chorus]
I can never regret, on the booty I’m ready to bet
Let’s whine my darlin, you so fine
Especially when you rotate
I can never regret, on the booty I’m ready to bet
Let’s whine my darlin, you so fine
Baby, just whine your body
(Back it up, back it up, back it up)
Oh whine it for me
(Zungusha, zungusha, zungusha)
Oh whine your body
(Back it up, back it up, back it up)
Oh whine it for me
(Zungusha, zungusha, zungusha)
[Bridge 1]
Back it up, back it up, back it up
Zungusha, zungusha, zungusha
Back it up, back it up, back it up
Zungusha, zungusha, zungusha
[Bridge 2]
Kama pesa nta-bet, kwa yule mtoto wa geti
Anavyonimaliza sina ujanja kama mbu na net
Kama pesa nta-bet, kwa yule mtoto wa geti
Anavyonimaliza sina ujanja hasa pale anavyoachia body
[Outro]
(Back it up, back it up, back it up)
Anavyozungusha body!
(Zungusha, zungusha, zungusha)
Anavyojiachia body!
(Back it up, back it up, back it up)
Anavyozungusha body!
(Zungusha, zungusha, zungusha)
No comments:
Post a Comment