Friday, December 30, 2016

Lyric Shetta Namjua LYRICS

[Intro]
Namjua, (okay) namjua
Namjua, (okay) namjua
Namjua, namjua
Namjua, namjua
[Verse 1]
Kuwa nae paradiso, mie nae uhai kwa kifo
Kama babu na kiko, niko nae toka nausa sisal
Akitembea lawama (namjua) eh, okay
Huko nyuma danadana (namjua)
[Pre-Hook]
Iwe kokwa, iwe ganda
Akinipa najilamba
Anavyolicheza vanga
Timbwili kwenye kitanda
Alele lelele
Alele lelele
[Hook]
Mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua)
Eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua, namjua)
[Bridge]
Shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)
[Verse 2]
Leo pochi imenona
Mi nataka kutoka
Vaa top ya kushona
Nigonge suti na moka
Tena ukiwaona
Usije ukashoboka
Tuwafungie na kona
Maana marafiki nyoka
[Pre-Hook]
Iwe kokwa, iwe ganda
Akinipa najilamba
Anavyolicheza vanga
Timbwili kwenye kitanda
Alele lelele
Alele lelele
[Hook]
Mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua)
Eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua, namjua)
[Bridge]
Shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)
[Outro]
Ale shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)

No comments:

Post a Comment