Friday, December 30, 2016

Lyrics Yamoto Band Niseme

[Intro]
Hasara baba yule
Sadick baba yule
Shukuru baba yule
Baba, baba huyo!
Baba, baba huyo1
[Verse 1]
Ale baba uyo katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Ale baba uyo katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Tusipate tabu ya kupeta mchele
Ale baba umerudi nipe soda nikaringishe uko nje
Amina, Salai waringie na mimi niringe nitambe
Ila baba mama na mjomba jitu leo wamepigana
Wamemwaga maji kitandani kwako na shuka wamechana
Ila baba mama na mjomba jitu leo wamepigana
Wamemwaga maji kitandani kwako na shuka wamechana
Nililia sana aah ooh
Daddy, kwani Shabani mwanao
Analaliaga kifua cha mama, kwani na yule mwanao
Acha anko Mangi, yule wa banda la video
Anapenda kujaga usiku, kwani yule ni nduguyo
Tena daddy ukitoka na mangi anaingia
Ananiletea bazoka na pesa ya kutumia
Ila Shabani simpendi, hapendi kunipa hela
Kazi kumpiga mama na pesa anachukua
Wanakaa siri siri wakionana, kwenye mabano, wanachofanya
Atanipiga nikikwambia, alishasema
Wanakaa siri siri wakionana kwenye mabano wanachofanya
Atanipiga nikikwambia, alishasema mama
[Chorus]
Niseme nisiseme sema ooh niseme oh
Niseme nisiseme sema aa ah niseme oh
Niseme nisiseme sema ooh niseme oh
Niseme nisiseme sema aa ah niseme oh
[Verse 2]
Heshima kwako baba, vipi maputo na pipi umeniletea
Duku lanikaba unakotoka ridhiki kututafutia, oh baba oh
Unapokwenda kazini uja mgeni, mfupi kimo
Ana madevu ka Osama sijui nani, ila bishoo
Anakujaga nyumbani kufuata nini, mbilikimo
Mama kaniambia nimuite anko John
Bora leo baba uko, mama uko mi nataka niongee
Kuna jambo lanitatizaga hapa nyuma ukiondoka baba
Bora leo baba uko, mama uko mi nataka niongee
Kuna jambo lanitatizaga hapa nyuma ukiondoka baba
Mwenzako mama ananitumaga chakula nipeleke gengeni
Pale kwa mzee Kutafuna, hapa kati sijui kuna jambo gani
Siku nyingine natumwaga na zaga kama nyanya na vitunguu
Siku nyingine hadi pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh
Siku nyingine napewaga na zaga kama nyanya na vitunguu
Siku nyingine na pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh
[Chorus]
Niseme nisiseme sema ooh niseme oh
Niseme nisiseme sema aa ah niseme oh
Niseme nisiseme sema ooh niseme oh
Niseme nisiseme sema aa ah niseme oh

No comments:

Post a Comment