Friday, December 30, 2016

jux Nikuite Nani lyrics

[Intro]
Lalah lalah lalah
lalah lalah lalah (Eiii eiiih)
(Uuhh)
Lalah lalah lalah
lahlah lalah lalah
Lalah lalah lalah
lahlah lalah
[Verse 1]
Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama
Uzuri wako ndo unazidi nipa homa
Haki ya nani mi nitakatia bima
Mi sisikii napata raha
Nitasubiri more honey
Na sioni, baby karaha
Long time nimedata nawe
[Pre-Chorus]
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
La la lala lala
Lala lala lala
La la lala lala
Lala lala lala
[Verse 2]
Kama zawadi nitakupa dunia, uitawale mama we (eiyeh)
Mfano wa bahari juu mamii naelea nimejifia kwako we (eyeh)
Ukamilishe uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu
Ukawe amani ya moyo wangu milele eyei yei
[Pre-Chorus]
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
La la lala lala
Lala lala lala
La la lala lala
Lala lala lala
[Bridge]
Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe
Nakudhamini mimi
Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe ehee
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
La la lala lala
Lala lala lala
La la lala lala
Lala lala lala
[Outro]
Aah aha ahh
Mmh mhh
Eiye eiyeh mmh mhh
Yeah, I love you baby
It’s your boy, African boy!

No comments:

Post a Comment