[Verse 1]
Ima wangu ukisiiza, mi moyoni nasikia raha
Kiukweli unanimaliza, wewe mamaa
Nikiimba unaimba, nikicheza unacheza na
Tabasamu unalonipa ni furaha, yeah
Ima wangu ukisiiza, mi moyoni nasikia raha
Kiukweli unanimaliza, wewe mamaa
Nikiimba unaimba, nikicheza unacheza na
Tabasamu unalonipa ni furaha, yeah
[Pre-Chorus]
Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika (wangu malaika)
Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika (wangu malaika)
[Chorus]
Ukiniacha wee, sitamani tena mwingine
You’re my everything baby
Popote ulipo, listen to my song baby
Listen to my song baby
Listen to my song babe
Ukiniacha wee, sitamani tena mwingine
You’re my everything baby
Popote ulipo, listen to my song baby
Listen to my song baby
Listen to my song babe
[Verse 2]
Ima wangu we ni siri
Siri zote za rohoni
Sikia sauti kila uendapo
Nikueleze nakupenda, we ndo number one
Vile nasikia raha, kuwa karibu nawe
Ni faraja maishani mwangu
Baby listen to the song
Ima wangu we ni siri
Siri zote za rohoni
Sikia sauti kila uendapo
Nikueleze nakupenda, we ndo number one
Vile nasikia raha, kuwa karibu nawe
Ni faraja maishani mwangu
Baby listen to the song
[Pre-Chorus]
Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika (wangu malaika)
Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika (wangu malaika)
[Chorus]
Ukiniacha wee, sitamani tena mwingine
You’re my everything baby
Popote ulipo, listen to my song baby
Listen to my song baby
Listen to my song babe
Ukiniacha wee, sitamani tena mwingine
You’re my everything baby
Popote ulipo, listen to my song baby
Listen to my song baby
Listen to my song babe
[Outro]
Baby listen to my song, listen to my song
Popote ulipo
Baby listen to my song, listen to my song
Na ujumbe mzito
Nataka ufurahi, ucheze nami tena
Baby ujidai, oh love
Nataka ufurahi, ucheze nami tena
Baby ujidai, oh love, love love
Listen to the song baby
Listen to my song ah
Listen to the song baby
Listen to my song baby
Listen to the song baby
Listen to my song baby
Listen to the song, listen to the song, yeah
Baby listen to my song, listen to my song
Popote ulipo
Baby listen to my song, listen to my song
Na ujumbe mzito
Nataka ufurahi, ucheze nami tena
Baby ujidai, oh love
Nataka ufurahi, ucheze nami tena
Baby ujidai, oh love, love love
Listen to the song baby
Listen to my song ah
Listen to the song baby
Listen to my song baby
Listen to the song baby
Listen to my song baby
Listen to the song, listen to the song, yeah
No comments:
Post a Comment