[Chorus – Fundi Samweli]
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
[Verse 1 – Joh Makini]
Tupae tukaishi mbali na maumivu ya moyo, mpenzi
Mbali na mtandao wa mapenzi
Tumuachie mwenye enzi vile nje ya uwezo
Sio siri tena twende mbali maelezo
Sio mia kwa mia ila unanitosha vigezo
Si ni pair, nice couple, mtaani gumzo
Nataka nikupe mapenzi daraja la kwanza
Tupae mbali sana, air Lufthansa
First class shori you deserve this
Ni kweli sio story we ndo kitu na-miss
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu
Tupae tukaishi mbali na maumivu ya moyo, mpenzi
Mbali na mtandao wa mapenzi
Tumuachie mwenye enzi vile nje ya uwezo
Sio siri tena twende mbali maelezo
Sio mia kwa mia ila unanitosha vigezo
Si ni pair, nice couple, mtaani gumzo
Nataka nikupe mapenzi daraja la kwanza
Tupae mbali sana, air Lufthansa
First class shori you deserve this
Ni kweli sio story we ndo kitu na-miss
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu
[Chorus – Fundi Samweli]
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
[Verse 2 – Joh Makini]
Twende, nikupeleke mount Kilimanjaro
Let’s go deep down in the Ngorongoro crater
Siku mbili tatu pale Mto Wa Mbu
Picha nzuri za mbugani kama kumbukumbu
Kisha, nikumiliki shori, huu ndo mpango wangu
Utenzi toka chini ya uvungu moyoni mwangu
Mtoto wa kitaani alestaarabika
Mama Afrika, mwanamke wa ndoto zangu
Na silaha tosha za kuchosha adui zangu
Kama mimi ni mfano wa wengi, basi unao
Kama nipo peke yangu, basi una mimi tu boo
Twende, nikupeleke mount Kilimanjaro
Let’s go deep down in the Ngorongoro crater
Siku mbili tatu pale Mto Wa Mbu
Picha nzuri za mbugani kama kumbukumbu
Kisha, nikumiliki shori, huu ndo mpango wangu
Utenzi toka chini ya uvungu moyoni mwangu
Mtoto wa kitaani alestaarabika
Mama Afrika, mwanamke wa ndoto zangu
Na silaha tosha za kuchosha adui zangu
Kama mimi ni mfano wa wengi, basi unao
Kama nipo peke yangu, basi una mimi tu boo
Ee hebu, hebu nieleze usipate taabu (my boo)
Juu ya vile vinavyokusibu
Kaza usilegeze, wasivuruge utaratibu
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu
Kaza usilegeze, wasivuruge utaratibu
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu
[Chorus – Fundi Samweli]
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
[Verse 3 – Joh Makini]
Tujiandae kwa samahani, ila kama hatusamehani
Hakuna kusalimika kwa Maanani, haki ya nani
Sio kilevi, sio tamaa, ni mapenzi kweli
Mi nakustahili wala usinione zali
Shinda siri za jeshi kwa hii serikali nikutunze
Hadhina ya mapenzi, jidahi ukiwa na mie
Hazina ukingoni, sio za sakafuni hizi mbio
Ni tamu sana ongeza sauti ya redio
I’m in a good mood, in the good groove
And I know you gon’ like this, trust me
Tujiandae kwa samahani, ila kama hatusamehani
Hakuna kusalimika kwa Maanani, haki ya nani
Sio kilevi, sio tamaa, ni mapenzi kweli
Mi nakustahili wala usinione zali
Shinda siri za jeshi kwa hii serikali nikutunze
Hadhina ya mapenzi, jidahi ukiwa na mie
Hazina ukingoni, sio za sakafuni hizi mbio
Ni tamu sana ongeza sauti ya redio
I’m in a good mood, in the good groove
And I know you gon’ like this, trust me
[Chorus – Fundi Samweli]
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
Oh oh, I’m ready to fly
No comments:
Post a Comment