Friday, December 30, 2016

Abdu Kiba Bayoyo LYRIC

[Verse 1]
Habibty, habibty, wauba wangu wa ubani eh
Raha za ndani wewe umefunzwa na nani eh?
Mtoto mashaallah, mtoto ma habuba
Mtoto Bilal, Islat, Naifat woyo oh oh
Yako majina yanantatiza bwana
Kila kukicha afadhali lile la jana
Habibty oh-oh, habibty wewe
Wangu mimi kwako wewe kudunda dunda kwako
Kudunda dunda nami
Habibty mashaallah, umezaliwa Tanga kisiwani
Napenda zile dimpose, napenda zile njozi zako za usiku
Aah aah
[Chorus]
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa)
[Verse 2]
Nafuraha tele kuwa na wewe
Siwezi kukukata kwenye maisha, furaha yangu
Nyota yangu, kizimwe changu, nyumba yangu
Habibty wee, iih
Ni wengi wenye mapenzi
Nishasemwa sana juu yako kwa vile mi unanienzi
Mapenzi real real real, na kukuacha mimi siwezi
Hiyo ni ndoto ya mapenzi, kwangu wa pekee
Napenda zile dimpose, napenda zile njozi zako za usiku
Aah aah
[Chorus]
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa)
Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa)
[Outro]
Alekufunza habibty mahaba tusije saliti
Mungu wa raha na dhiki (mahaba) habibty bilinge yo
Alekufunza Habibty mahaba tusije saliti
Mungu wa raha na dhiki habibty bilingeba
Habibty yoyo oh oh oh
Habibty wewe mamaa
Habibty yeeeh, njoo!

No comments:

Post a Comment