[Chorus – Abdu Kiba (& Alikiba)]
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (kama ushawahi kuumizwa)

[Verse 1 – Alikiba (& Abdu Kiba)]
Singu nini we? (iyee!), una nini we (iyee!)
Toka nimekuona (iyee!) una mawazo sana (iyee!)
Oh uuu oh (iyee!), ni nani wewe (iyee!)
Anakuumiza (iyee!) mpaka anakuliza? (iyee!)
Singu nini we? (iyee!), una nini we (iyee!)
Toka nimekuona (iyee!) una mawazo sana (iyee!)
Oh uuu oh (iyee!), ni nani wewe (iyee!)
Anakuumiza (iyee!) mpaka anakuliza? (iyee!)
[Chorus – Abdu Kiba (& Alikiba)]
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (kama ushawahi kupenda)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (kama ushawahi kuumizwa)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (kama ushawahi kupenda)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (kama ushawahi kuumizwa)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (si upite mbele)
[Verse 2 – Alikiba (& Abdu Kiba)]
Juzi juzi we (iyee!), nyumba ya tatu (iyee!)
Alitaka mtu (iyee!) kujipiga kitanzi (iyee!)
Oh uu hoo (iyee!), sababu mapenzi (iyee!)
Ni uchizi eh (iyee!), hayana muuguzi (iyeh!)

[Verse 3 – Alikiba]
Ukishaona wewe (iyee!), anakusumbua (iyee!)
Keshapata mwingine (iyee!), anayemzuzua (iyee!)
Woo uu hoo (iyee!), hata ufanye nini (iyee!)
Utajisumbua (iyee!), hato rudi tena (iyee!)

[Bridge – Abdu Kiba]
Huu si msala, msala, si msala
Mapenzi yanauma sana sana si msala
Huu si msala, msala, si msala
Mapenzi yanauma sana sana si msala
Huu si msala, msala, si msala
Mapenzi yanauma sana sana si msala
Huu si msala, msala, si msala
Mapenzi yanauma sana sana si msala
[Chorus – Abdu Kiba (& Alikiba)]
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele (kama ushawahi kupenda)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (uuh pita mbele)

[Bridge 2 – Abdu Kiba]
Mi na-force iih mapenzi
Mpaka leo naona siyawezi
Sana nime-force mapenzi
Mpaka leo naona siyawezi
Mi na-force iih mapenzi
Mpaka leo naona siyawezi
Sana nime-force mapenzi
Mpaka leo naona siyawezi
[Chorus – Abdu Kiba]
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kutendwa si upite mbele (si upite mbele)
Kama ushawahi kupenda si upite mbele (pita mbele)
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele

[Bridge 2 – Alikiba]
Ume-force iih mapenzi
Mpaka leo unaona huyawezi
Sana ume-force mapenzi
Mpaka leo naona huyawezi
Ume-force iih mapenzi
Mpaka leo unaona huyawezi
Sana ume-force mapenzi
Mpaka leo naona huyawezi
[Chorus – Alikiba]
Kama ushawahi kupenda si upite mbele
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele
Kama ushawahi kupenda si upite mbele
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele
Kama ushawahi kupenda si upite mbele
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele
Kama ushawahi kupenda si upite mbele
Kama ushawahi kuumizwa si upite mbele
No comments:
Post a Comment