Friday, December 30, 2016

Joh Makini – Nusu Nusu LYRICS

[Intro]Nahreel!
Olele Olele
The industry
Olele Olele
[Hook]Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
(Olele Olele)
Nusu saa ya mshale (Olele)
Nusu Bob Marley (Olele)
Niruhusu nisimame (Olele)
Nikuruhusu ulale (Olele)
[Verse 1]Eh! Eh!
Agizia kina Ritha Margarita
Usijifanye kama hujui kilichotuleta
Mawaidha kwenye parle hapana kuleta
Ila kama una maombi leta later
Njaa tulishaikimbiza makilometa
Logo ni NYEUSI na inameta meta
Wakati wanajiuliza kupata punchline
Ninafululiza kufanya hit songs
Huku nikidunduliza so money long
Na bado sijamaliza so the party is on!
Michongo inawakimbiza usione wako hoi
Usongo umenipitiliza
Sherehe zikianzia Arusha kuelekea Ibiza (weeee!)
Vunja nazi navunja maviza
Nachana maanga, napasua giza (weeee!)
Mi ni nuru sio wale ni kiza
Makini na Jesus so bump the cheese up
Wewe! (wewee bump the cheese up!)
[Hook]
Olele!
Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
(Olele Olele)
Nusu saa ya mshale (Olele)
Nusu Bob Marley (Olele)
Niruhusu nisimame (Olele)
Nikuruhusu ulale (Olele)
[Verse 2]
Brand kubwa sio kitoto
Na shoo ni cash sio mikopo
Najenga nchi sitoi boko
Sirikali mbwa koko
Tokea uswazi siachi ukoko
Olele
Tokea mageto huu ndo mtoko
Matendo sina ropo ropo
You know we do this for the people
Siwapi kichupa wape kopooo
X whatever mabinti hamsha popo
DJ, nasikia rushwa inakarabati kila sekta
Chalii ya Arusha narusha tu kila bakta
Na mambo ya maana tukumbuke tukila bata
Na ka ni mambo ya kimsingi mi ni renter
Na ka ni mambo ya kipimbi mnaleta
Mtoto mkali mkibetua nambenta
Na kesho morning ndo mtagundua ilikuwa penta
Makoromeo yanaita ni kiu
Na kauli mbiu leo ni kutii (Olele)
Bendera hewani simamisha mlingoti (Olele)
Watu mtu kati ukutii hunikuti sikutii
Nakutia adabu (TIA ADABU!)
[Hook]
Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
(Olele Olele)
Nusu saa ya mshale (Olele)
Nusu Bob Marley (Olele)
Niruhusu nisimame (Olele)
Nikuruhusu ulale (Olele)
Nusu saa ya mshale (Olele)
Nusu Bob Marley (Olele)
Niruhusu nisimame (Olele)
Nikuruhusu ulale (Olele)
Nusu saa ya mshale (Olele)
Nusu Bob Marley (Olele)
Niruhusu nisimame (Olele)
Nikuruhusu ulale (Olele)

No comments:

Post a Comment