Friday, December 30, 2016

Fid Q I Am A Professional LYRICS

[Verse 1]
Smiley faces za faces zikaitwa lyricists na racists
Terrorists huniita bomb ’cause (I am a professional)
Na sio satanic verse, cautious zaidi ya Titanic imezama
Sio kama na-flow, wananiita mfalme cause (I am a professional)
One of the realest, illest, killest cat you may see
Mwanajeshi ka Jeronimo Plat cause (I am a professional)
Man, hood was my government, uhuru is my lane
Namuobama McCain cause (I am a professional)
Long time me I tell me coulda change dem plan
Nikawa na dream ka da Luther King cause (I am a professional)
My speaking style kuwa unique, plain, direct like an arrow
Wananiita Malcom cause (I am a professional)
Professor wa chuo kikuu cha ghetto nawafunza KitaaOLOJIA
Industial politricks, hustle matrix cause (I am a professional)
Napima umbali kwa mwendo kisha ninahesabu siku
Muda ninausoma kwa jua ni ukweli (I am a professional)
Na pause kama coma kwenye sentence
I’m the first and the second
Nang’ara kama almasi, girls’ bestfriend
Killing the prop that’s what I’m best at
Vyema na hizi self expressions, less na mere more vision
[Hook]
I am a professional
I am a professional
I am a professional
I am a professional
[Verse 2]
Sinto-quit kama Nike just do it (just do it)
Sipaki matope kwenye hii dunia ya nguruwe
Wala si stop nikiona red, natafuta daily bread
Sasa I’m fully paid cause (I am a professional)
Mi ni zaidi ya bling bling, magari, pesa
Au kile ambacho hakiuzwi kwa bei ya chini and (I am a professional)
Mr International, Blackspot ipo pimped
Usilete nyodo ka za Michael Jackson Bongo kuna stink (I am a professional)
Panya avae miwani ukimgeza utakula carrot
You’re the best of the worst and (I am a professional)
Sihitaji groupie love sababu wengi ni materialistic
Unaeza rudi home kwa mama na ukola unalamba lipstick
Secrets won’t stay secret for very long
Najiheshimu niheshimike cause (I am a professional)
Natokea Mwanza, home of the greatest rappers
Mtoto wa Dandu comes first then (I am a professional)
[Hook]
I am a professional
I am a professional
I am a professional
I am a professional
[Verse 3]
Samaa X huniita Fid Q The Future
Machache niliyoyapitia kuna mengi nimejifunza (I am a professional)
Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisicho kijua
Ntakuwa mjinga kwa sekunde kisha (I am a professional)
Nguvu ya elimu ina umuhimu pale elimu ikitumika
Nalipwa kwa vyote ambavyo huvijui (I am a professional)
Muda mwingi nipo sober, kazi na sala kama Koba
Naamini Mungu ni mmoja ndo maana (I am a professional)
Tena I’m so grateful, thankful, ili nipate mema
Natumia ufahamu (I am a professional)
Wanaongea walichosikia mi nnasema nachojua
Na sio ugly flow iko handsome (I am a professional)
So usini-treat kama second class person
Utakuwa umefanya first class mistake, hey, (I am a professional)
And I’m the best looking kama Linen
Nkiwa clean au kama Duke akiwa kwenye mashine (I am a professional)
Hip Hop ni vile unavyoishi, rap ni kile unachofanya
Sikio la kufa zibuka usikie hizi dawa (I am a professional)
Katikati ya jana na kesho hapo ndipo kuna muda
Kazi madeni kuzidi malipo mwiko mimi ni professional!

No comments:

Post a Comment