Friday, December 30, 2016

Nikki wa pili ft belle 9 - Hatuendani lyrics

[Intro – Nikki Wa Pili]
Yeah
Yees, that’s right
That’s classic song
River Camp soldier’s in a building
Dar 69!
Nikki Wa Pili with my boy, Belle 9
We on fire, we on fire
Believe dat, believe dat
[Chorus – Belle 9]
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi, siweziii
We mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani, mi nawe hatuendani
We mtu mzima, we mtu mzima iiih
Hatulingani, mi nawe hatuendani
[Verse 1 – Nikki Wa Pili]
Twende!
Ku-play DVD kwenye tape deck
Haiwezi vipi mi unipe headache?!
Wa 60 na 80 hatuwezi make
Kabla sijahema sana washakugema mafataki
Najihisi ukinikiss nauhitaji mswaki
Sikutaki, hauna ladha
Unaponikumbatia unipa mawazo ya Angaza
Shikamoo unakaza, umri ka maza
Na mi sio father ni vipi ntakuliwaza?
Nikurudishe ujana, mi sio Maulana
Nirudishe utoto nasema nakutukana
Mi ni sugar kwenye fani, sio sugar kwa ma-mummy
Hey, don’t try me
Unataka kunikuza, unataka kunifunza?
Au unataka kumlipiza mumeo kum-revenge?
Kama game ilisha-change hata umri umechelewa
Katunze vizuri hao watoto mliopewa
[Chorus – Belle 9]
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi, siweziii
We mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani, mi nawe hatuendani
We mtu mzima, we mtu mzima iiih
Hatulingani, mi nawe hatuendani
[Verse 2 – Nikki Wa Pili]
Wasanii tuheshimike na
Wasanii tusife na wanawake tunaokesha kuwafungua kama opener
Good boy, vipi?
Niaje, ni vipi? Umezipenda? Basi kanunue CD
Na sio ajenda za kutongoza wasanii
Kununua wasanii, si huburudisha watu
Si sio waume wa watu
Mi natafuta kazi, sitafuti mzazi
Bi shangazi tafadhali
Unataka kuniweka ndani what’s up mi sio mwali
Japo kitu sinaga, ntaendelea kuwamwaga
Vita ya mihogo na burger
Inawezekana tukiboresha hizo swagger
Usinitangulizie hela, usiniletee usela
Tena uache kunieleza na utoke kwa hii meza, right?
You’re my mother from another father, hey!
I’m your son from another mother, okay?
Nikki baby!
[Chorus – Belle 9]
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi, siweziii
We mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani, mi nawe hatuendani
We mtu mzima, we mtu mzima iiih
Hatulingani, mi nawe hatuendani
[Verse 3 – Nikki Wa Pili]
Mi hucheza juu ya beat, mi sichezei mabinti
Mi sichezei mamaza, kwa hiyo mantiki
Mi na staili za ku-flow, sina staili za kwenye vioo
Tukutane kwenye show get close, get the picture
I’m the best teacher, I’m the best picture
For the best future, for the best…
‘Cause I’m the best picture, I’m the best teacher
For the best future, for the best future
[Chorus – Belle 9]
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi, siweziii
We mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani, mi nawe hatuendani
We mtu mzima, we mtu mzima iiih
Hatulingani, mi nawe hatuendani
[Outro – Belle 9]
Hatulingani, mi nawe hatuendani oohh
Hatulingani, mi nawe hatuendani
Hatulingani, mi nawe hatuendani oohh
Hatulingani, mi nawe hatuendani

No comments:

Post a Comment