[Intro]
Shahabib!
Yalah yalah
Ohh oohh
Allah Allah Allah yalah
[Pre-Chorus]
Secrets of Allah tired of stressing out
Cuts and bruises no loving anyone on the way
[Chorus]
Sasa nanepa
Bila ya pesa moyo umechanua (no stress)
Kilichonikweza kimeteleza sasa najiweza (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
[Verse 1]
Kiukweli ukweli moyo wangu uliumia
Mawazo mengi mpaka sijui pa kukimbilia
Nililia kwa machozi acha niimbe kwa hisia
Kisa kupenda ila kwa sasa basi nawaambia
Secrets of Allah tired of stressing out
Cuts and bruises no loving anyone on the way
Kula sili kulala silali, mawazo mengi kichwani
Heri maumivu ya vidonda, si mapenzi kuishia
njiani
Kula sili kulala silali, mawazo mengi kichwani
Heri maumivu ya vidonda, si mapenzi kuishia
njiani
[Bridge]
Haya mapenzi, haya mapenzi ya nani
Hapa duniani, haijulikani
[Chorus]
Sasa nanepa
Bila ya pesa moyo umechanua (no stress)
Kilichonikweza kimeteleza sasa najiweza (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
[Verse 2]
Ukipenda unatendwa, ukitenda hujapenda
Hivi mapenzi ndivyo yalivyo mwanzo furaha
mwisho jeraha
Niliumia nikasahau mwisho wakanidharau
Ila sasa nanenepa, nashukuru angalau
[Pre-Chorus]
Secrets of Allah tired of stressing out
Cuts and bruises no loving anyone on the way
To the slope, sloppy road in the wood
Hater no!
[Chorus]
Sasa nanepa
Bila ya pesa moyo umechanua (no stress)
Kilichonikweza kimeteleza sasa najiweza (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
Ndivyo hivyo hee vivyo hivyo
I’m saying (no stress)
[Outro]
Nash, Designer baby
Oh uuh
No comments:
Post a Comment