Tuesday, April 10, 2018

"Young Dee - Bongo Bahati Mbaya

Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Maisha ndo haya haya
So ntaenda wapi
Bongo bahati mbaya
Hollywood yetu Masaki
Usishangae natamba
Halafu we hauna chambi
Mi mwembamba ila napiga show za kitambi
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu Ulaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Wanaogopa kusema hii kama mbele
Ila hapa ndo nyumbani napiga misele
Wanaogopa kusema haina kwere
Ila hapa ndo nyumbani siogopi maseke
Alafu mi Mnyamwezi niliepoteza passport
Niko bongo bahati mbaya tu
Unyamwezi sio wa kufosi
Ukiniona kama tozi
Niguse nije na kikosi
Nimepiga pamba alafu sio za kukodi
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu Ulaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Haijalishi niko wapi
Lazima niko happy
Hata nikiwa tu mwenyewe au niko na washkaji
Haijalishi nipo wapi
Lazima niwe msafi
Nipo bongo bahati mbaya ndo hivyo ntakwenda wapi
Haijalishi niko wapi
Lazima niko happy
Hata nikiwa tu mwenyewe au niko na washkaji
Haijalishi nipo wapi
Lazima niwe msafi
Nipo bongo bahati mbaya ndo hivyo ntakwenda wapi
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Tupo Bongo bahati mbaya tu
Karibu Ulaya
Oya
Producer Mr. T Touch
Wewe ndo producer wangu mkali eeh
Hivi wewe ni producer au jini
Bongo bahati mbaya tu

No comments:

Post a Comment