Tuesday, April 10, 2018

Recho - Kizunguzungu

Ufungue, ufungue moyo
Ufungue, nilokuona mbele ya macho yangu
Nifumbue macho
Niongoze popote uendapo
Wewe thamani yangu
Machozi yangu, pendo langu
Utalosema nitasema ndio
Na mabaya nitasema sio
Mara chache mpenzi
Kukataa usemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri ntendalo
Ama kweli kizunguzungu
Kinanichanganya mpaka kinanipa wazimu
Siishi kuwaza kunywa sumu
Sababu ya huyu brother man
Ama kweli kizunguzungu
Kinanichanganya mpaka kinanipa wazimu
Siishi kuwaza kunywa sumu
Sababu ya huyu brother man
Ufungue moyo
Naukabidhi kwako uwe wako
Wewe ndo nyota yangu
Nuru yangu, mwanga wangu
Utalosema nitasema ndio
Na mabaya nitasema sio
Mara chache mpenzi
Kukataa usemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri ntendalo
Ama kweli kizunguzungu
Kinanichanganya mpaka kinanipa wazimu
Siishi kuwaza kunywa sumu
Sababu ya huyu brother man
Ama kweli kizunguzungu
Kinanichanganya mpaka kinanipa wazimu
Siishi kuwaza kunywa sumu
Sababu ya huyu brother man
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Niliwaze, uniliwaze eh ehee
Nisiwaze, umezaliwa wewe uwe wangu uh
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Ni wewe, uniliwaze eh ehee
Ni wewe, uniliwaze eh ehee
Nisiwaze, umezaliwa wewe uwe wangu uh
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu

No comments:

Post a Comment