Tuesday, April 10, 2018

Shetta ft Linah - Bonge La Bwana

Yoh KGT
KGT Shadee
G Records baby
Everybody say okay
Shetta da Shetta de Sheta
Okay
Say Shetta de Shetta de Sheta
Chief Kiumbe The Boss
What’s that
We ndio kwangu namba one
Vicheche nimeshaviacha gizani
Penzi langu kwako kama mzani
Pima juu chini nishakata tani
Utake nini mi kimbelembele
We mwenyewe utake pizza utake mchele
Na wanasema ulinipa ngedere
Mmh waache waongee hiyo ni gere gere
Na ndio maana nazisaka tu
Hata nikizipata hapa ni bata tu
Hapa kimeshawaka mi ni wako boo
Tumia unavyotaka changu chako tu
Kazi kwako duu
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No mimi sipush Maybach
Ila kama una madeni nita-pay back
Na ndio maana mi nadata na ndio maana nadata
Na ndio maana mi nadata na ndio maana nadata
We nipe matamu tamu na mashamu shamu
Hakuna kununa kila siku tabasamu
Nami nikupe matamu tamu na mashamu shamu
Hakuna kununa kila siku tabasamu
Na ndio maana mi nadata (mi ndo bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio maana mi nadata (bonge la bwana bonge la bwana)
Hey Mi sio tajiri sio tajiri
Anh ah Sio tajiri sio tajiri
Ila vitu kama less wigi
High heels leggings G-string
Vyote kuvipata easy baby easy baby
Yote nitakizi baby
Sintokupaka masizi baby
Ukinitosa nitakuwa kama chizi baby
Yes nilikupata kwa manati sana
Hapa na-enjoy wale siwataki mama
Sijagonganisha wasichana
Bonge la bwana toa wasiwasi mama
Nilikupata kwa manati sana
Hapa na-enjoy wale siwataki mama
Sijagonganisha wasichana
Bonge la bwana toa wasiwasi mama
Na
Na hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No mimi sipush Maybach
Ila kama una madeni nita-pay back
Na ndio maana mi nadata na ndio maana nadata
Na ndio maana mi nadata na ndio maana nadata
We nipe matamu tamu na mashamu shamu
Hakuna kununa kila siku tabasamu
Nami nikupe matamu tamu na mashamu shamu
Hakuna kununa kila siku tabasamu
Na ndio maana mi nadata (mi ndo bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio maana mi nadata (bonge la bwana bonge la bwana)
Yes hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back ah
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back
One more time one more time Linah
What’s that
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
No sipush Maybach
Ila kama una madeni mi nita-pay back
Yessir hahah
Mi ndio bo bo bonge la bwana bonge la bonge la bwana
Na Linah Linah baby
G Records baby na KGT
K K KGT Shadee
Okay Hahah
Ebwana eh sikilizeni
Imeisha

No comments:

Post a Comment