Tuesday, April 10, 2018

Sajna - Iveta

Oh ooh ey ye ye yo yoooohh
Oh oohh we iveta
Ningojee dia ningojee dia
Tetemesha bwoy
Najua moyo wako unahitaji raha ila huku mjini karaha
Baridii inaumizaa wewe sweta ulileta mzaha
Sijui jibu langu umepata kuhusu saj kuja kwenu kukubaliwa
Isije kuwa hadithi na ndoto walishanieleza mapenzi maji ya moto
Najua kwamba unanipenda mimi
Ubavu wa kushoto ningoje iveta
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Subira yavuta heri
Nisubiri kwa kila la kheri mpenzi
Kijijini nimemiss vitu vingi
Mboga za majani machungwa matunda
Pale nyumbani hadithi za babu
Nndugu zangu na utani wa bibi
Iveta nisubiri mimi
Tuunganishe familia yangu na yako
Iveta maa I love u
Iveta maa I need you
Iveta maa I love you
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Eeh eh ehh eh ningojee dia
Aah ah ahh ah nakutafutia dia
Mjini sichoki kutafuta angalau senti kuja kuzileta
Iveta nisubiri basi mimi si unajua nakupenda sana wewe
Wangapi huku mjini wanitaka ila najua wewe ndio unaningoja
Usiwe na shaka ningoje mama iveta wewe
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Iveta kijijini ningojee mamaa ningojee dia
Huku mjini nakutafutia mama nakutafutia dia
Outro
Eh eh eh eh haa
Oh ooh ningojee dia wange
Ningojee dia
Tetemesha bwoy

No comments:

Post a Comment