Yeah
Cheke The Industry
Yeah (Nahreel On The Beat)
Cheke The Industry
Yeah (Nahreel On The Beat)
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabalehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Unajaza marafiki home
Utadhani una sherehe
Ya shule mtoto huyajui dingi
We ni soka tu kufatilia ligi
Mkeo unampa ahadi nyingi
Kama unamtongoza mwanafunzi aingie kingi
Chizi masoka
Ratiba unaojua huwa ni tungi na soka
Ratiba shule ya mtoto hujui dingi mahoka
Na bado una line kumi na
Simu ikishikwa ni ngumi na
Password kama lugha ya kirumi na…
Utadhani unabalehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Unajaza marafiki home
Utadhani una sherehe
Ya shule mtoto huyajui dingi
We ni soka tu kufatilia ligi
Mkeo unampa ahadi nyingi
Kama unamtongoza mwanafunzi aingie kingi
Chizi masoka
Ratiba unaojua huwa ni tungi na soka
Ratiba shule ya mtoto hujui dingi mahoka
Na bado una line kumi na
Simu ikishikwa ni ngumi na
Password kama lugha ya kirumi na…
Muda na mkeo haupati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Unatizama wanawake kuliko alama za barabarani
Eti baba baba gani
Unabishana na mkeo kama uko na Shabani
Kwenye ujinga babarani
Na tendo ni furaha ya kudumu
Nashangaa baba furaha unalifanya kama jukumu
Na tena ushavuta mandumu
Mkeo kila siku yanamkuta magumu
Unazira zira sura umeikunja kakamaa
Kaka kama upo kijiweni umechachamaa
Kaka ndoa sio kijiwe
Ndoa chuo cha msamaha kaka
Kaka uko bize kila saa
Eti baba baba gani
Unabishana na mkeo kama uko na Shabani
Kwenye ujinga babarani
Na tendo ni furaha ya kudumu
Nashangaa baba furaha unalifanya kama jukumu
Na tena ushavuta mandumu
Mkeo kila siku yanamkuta magumu
Unazira zira sura umeikunja kakamaa
Kaka kama upo kijiweni umechachamaa
Kaka ndoa sio kijiwe
Ndoa chuo cha msamaha kaka
Kaka uko bize kila saa
Muda na mkeo haupati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh
Mwenzako baba Swalehe
Unatizama wanawake kuliko alama za barabarani
No comments:
Post a Comment