Saturday, April 14, 2018

Shetta ft Rich Mavoko sina imani lyrics

(Intro)
De fatality
Na baba kaira
Richad Mavoko
Mavoko
Ukimwi nyumbani
Chief kiumbe the boss
Street soul
Meseni selector

(Chorus)
Wivu me sina (okey) ila sina imani
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
I say eh Wivu me sina ila sina imani (baby baby baby)
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
Aah usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Eeh Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Eeh usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani

(Verse_Shetta)
(..............!?)
Unidanganye danganye lakini peace
Leta mapenzi usilete ukimwi  tunapoishi
Baby usipende hongo kama polisi
Najua outing najua patyn
Nikijaribu kukubana we're fightin
Weka ngata beba heshima vunja kesi
Mali ya wanangu pima kama ni wepesi
Me ni mgonjwa na we ndio dokta na we ndio nesi
Sawa sikupeti peti kwa kibesi
Mara ngap unatoka nalala
Jua marafiki mjini hasara
Hujali family
Bata jumatatu mpaka jumapili
Ujue sipendi kukuchunga chunga
una mapenzi ya kweli au unavunga vunga

(Chorus)
Wivu me sina (okey) ila sina imani
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
I say eh
Wivu me sina ila sina imani (baby baby baby)
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
Aah usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Eeh Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Eeh usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani

(Verse2_Shetta)
Me sio mtu wa mabinti sijawahi kuhias dini
Mfuasi mzuri wa maadili (tusije tukafa kwa ngoma)
Ugonjwa tupate kama ajali sio kwasababu hatukujali so please tulia na mimi (tusije tukafa kwa ngoma)
Sijipangii ntakufa lini mama
Nafsi na mwili bado vinataka kuishi sana
Acha ubishi hizi cash ndio chanzo cha balaa
Unanifaa mama basi punguza tamaa
Watu wanakufa kila siku
Maisha matamu zaidi ya kila kitu
Tukipata ukimwi haina jinsi
Madawa gharama tutazikwa hatuna kitu
Hujali family
Bata jumatatu mpaka jumapili
Ujue sipendi kukuchunga chunga
una mapenzi ya kweli au unavunga vunga

(Chorus)
Wivu me sina (okey) ila sina imani
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
I say eh
Wivu me sina ila sina imani (baby baby baby)
Nami nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
Aah usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Eeh Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Eeh usilete ukimwi nyumbani
Uuh uuh ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani
Usilete ukimwi nyumbani

(Verse3_Richard Mavoko)
Kama kupenda me sikatai
Nafanya yote hili ufurahi
Usiniue kijerumani shingoni na tai
Kweli me wivu sina
Ila tatizo jina
Naomba ujichunge mwenyewe ili ulinde heshima
Kweli me wivu sina
Ila tatizo jina
Naomba ujichunge mwenyewe ili ulinde heshima

(Outro)
Jamani Eeh that whatsap
Papzo
Messeni utawaua

Usilete
wivu me sina
Ila sina imani
Nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani
wivu me sina
Ila sina imani
Nakupenda sana ila usilete ukimwi nyumbani

Piano....till fade

No comments:

Post a Comment