Eyo
Are you ready for Mr. Indian
Sulesh
Poteza Records
Are you ready for Mr. Indian
Sulesh
Poteza Records
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Wewe
Wewe
Mwanakidagala mkubwa ngalawa we
Wewe
Mwanakidagala mkubwa ngalawa we
Ooh
Nyumbani mama umemwachia buku
Kishtobe bar umemnunulia kuku
Ukirudi nyumbani mikono mitupu
Tena kurudi kwako ni usiku
Inaniuma nasema
Sinyamazi hata uninunulie nyama
(Akununulie nani nyama utakula dagaa)
Nikitoka naenda kumwambia mama
(Ah usifanye ivo)
Nasema nasema
(Usifanye ivo mwanangu)
Nasema nasema
(We mtoto wa kiume bwana doko doko nini)
(Shetani we)
Nyumbani mama umemwachia buku
Kishtobe bar umemnunulia kuku
Ukirudi nyumbani mikono mitupu
Tena kurudi kwako ni usiku
Inaniuma nasema
Sinyamazi hata uninunulie nyama
(Akununulie nani nyama utakula dagaa)
Nikitoka naenda kumwambia mama
(Ah usifanye ivo)
Nasema nasema
(Usifanye ivo mwanangu)
Nasema nasema
(We mtoto wa kiume bwana doko doko nini)
(Shetani we)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama Kusema
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama Kusema
Leo nyumbani patachimbika
Nitamwambia hadi sehemu uliyotoka
Nasema leo mbona patanuka
(Unga nanunua mimi unanunua wewe)
Namweleza mama pamoja na kaka
We baba mbona si unatutesa
Unaondoka hutuachii hata pesa
Namwambia yote yako makosa
(Eeh utahama humu)
Pengine utakuja kuyaacha
(Utamponza mama ako muende Kiambankumbe)
Nitamwambia hadi sehemu uliyotoka
Nasema leo mbona patanuka
(Unga nanunua mimi unanunua wewe)
Namweleza mama pamoja na kaka
We baba mbona si unatutesa
Unaondoka hutuachii hata pesa
Namwambia yote yako makosa
(Eeh utahama humu)
Pengine utakuja kuyaacha
(Utamponza mama ako muende Kiambankumbe)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Kusema
Naenda kusema kwa mama
Kusema
(Nyie watoto mliozaliwa wakati huu wa Jakaya yupo madarakani mna shida nyie kila kitu mnajifanya mnajua)
(Usiku mrefu mwanangu)
(Usiku mrefu mwanangu)
Nasema nasema
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana
Nasema nasema
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana
Nasema nasema
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana
Oiye eh eh
Inaniuma sana
Oiye eh eh
Kila siku kugombana
Oiye eh eh
Inaniuma sana
Oiye eh eh
Kila siku kugombana
Poteza Record
Oiye eh eh
Mkubwa na Wanae
Oiyee eh eh
Inaniuma sana
Oiye eh eh
Kila siku kugombana
Oiye eh eh
Inaniuma sana
Oiye eh eh
Kila siku kugombana
Poteza Record
Oiye eh eh
Mkubwa na Wanae
Oiyee eh eh
Mr. Indian
Sulesh
Dogo Aslay
Baraka zako hizi
Sign off
Sulesh
Dogo Aslay
Baraka zako hizi
Sign off
No comments:
Post a Comment