Saturday, April 14, 2018

Christian bella ollah lyrics

CHRISTIAN BELLA FT KHALIGRAPH JONES OLLAH LYRICS
[Intro]
Ollah Ollah
Is the OG Khaligraph
Jones
Alongside Christian Bella
For the lovers out there
Ollah eh Ollah x4
[Christian Bella]
Iyeh Iyeh
Nimedata Kwa huyu
Mwanamke Iyeh
Kila nikilala ananijia
ndotoni
Ananipenda mpaka
sielewi mbona
Kuna nini kwani, mbona
ananichanganya
Akitembea anamwendo
kama kinyonga eeh
Mtoto mzuri kama
malaika
Najiuliza kipi nimefanya
kupendwa na yeye
[Chorus]
Ollah eh Ollah X4
Kesho ni siku yetu ya
harusi
Tutafunga pingu ya
maisha
Tutakula kiapo kwa
Mungu baba
Na mbele ya dunia
hatutakuja wachana
Maneno ya wapambe
hapa hakuna nafasi
Vyumba vimekaza
milango hakuna wala
hata dirisha eh
Na wachekwa kanzo
wangu mama
Waambie poleni hakuna
pa kupenyeza
[Khaligraph Jones]
Hey I cant describe vile
nahisi
Pendo langu kwako ni
mazishi
Usijali na zao
malalamishhi
ni wivu juu wanatamani
kuwa sisi Bella
[Bella]
Chonde chonde Mpenzi
usijeniacha kwenye
mataa
Nakuahidi kukupenda
mpaka mwisho
promice feki zote
nimeshazima
Kwa moyo wa maisha we
ndio kila kitu changu wee
Niende tena wapi kwako
nimeshafika eeh
[Chorus]
[Khaligraph]
Nakuona akili yangu
inachizi
Girl juu you’re an angle
you believe me
I wanna be on your side
till I die
Umenifikisha juu napepea
mushtaf
Juu ya hewa we ndio air
hostess
Umenipea love crazy too
Them other coulples
couldnt do it the way that
we do
You’re a queen unastahili
sifa
Kwa kuniserve baby mimi
sina budi
The shore of my dreams
Ring mimi ntakuvisha juu
you look like a star
in a movie (say what)
N I know sometime
inaweza kaa kasijali
Ni hali ya maboy
wakitafuta mali, magari
Staki unishuku na
maswali
Bt lengo langu ni eti uishi
kifahari
So I promise to be here
everyday
N its only to God that I
pray
that between us
everything is gonna be
okay
Coz you really blow me
away
[chorus]
Nakuona akili yangu
inachizi
Girl juu you’re an angle
you believe me
I wanna be on your side
till I die
Coz when I see you moyo
wangu unafurahi

No comments:

Post a Comment