Friday, April 13, 2018

Alikiba wife was dunia lyrics

Mwanzo nilikuona,
Sijui nilikuona na nani eeh
Kwani najitahidi niwe na wewe yah we
Kama ni ujanja
mwenyewe unajua me sina
Wololo wololo wololo
Zile porojo zangu zinapokuona zinazima
Yaani nikikuona me aah ,
Kichwa kinaniuma
Ata mwili wangu ooh
Aah yawe eeh
Macho yangu yametoa machozi sana,
Lakini moyo wangu una furaha,
Ya kukuona,wewe kila siku,
Kila siku iendayo kwa mungu,
Ona machozi yatoka eeh,
Bila ata kuyavuta
Nakupenda wewe ,
Nakufikiria wewe
Lini nitakuwa na wewe
Mimi nakupenda wewe
Nakupenda wewe ,
Nakufikiria wewe
Lini nitakuwa na wewe
Mimi nakupenda wewe
Wife wa dunia nakupenda
Huku nagumana
Rhumba napiga na nani moyo wangu
Maana naona naona picha hata kama siwezi soma
Navuta hisia aah nalia kwani inaniuma sana
Moyo wangu unaumia kwani inaniuma sana
Ooh me nakupenda sana ila wewe hujui kabisa
Nna moyo unangoja unangoja
Lakini najua hautakuja
Na bado naamini
Utakuja uwe nami kimaisha
Nna moyo unangoja unangoja
Lakini najua hautakuja
Na bado naamini
Utakuja uwe nami kimaisha
Nna moyo unangoja unangoja
Lakini najua hautakuja
Na bado naamini
Utakuja uwe nami kimaisha
Nna moyo unangoja unangoja
Lakini najua hautakuja
Na bado naamini
Utakuja uwe nami kimaisha
Dole dole
Dole gumba
Dole dole
Dolemifamirado
Doramifasolatido

No comments:

Post a Comment