Kwanza kabisa thanks to the Lord (to the Lord)
Uzuri wako sio wa kudownload (wa kudownload)
Unanishangaza kila siku me sichoki
Mwingine kama wee me sitaki
Wewe ndo fimbo yangu baby ongeza raha zaidi mamy
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Ni wewe tu tu baby
wewee
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
Nitafunga moyo wangu sitoki
Funguo nikukabidhi wee
Il give you everything
Nitakupa muda wangu na ndoto
Chochote unachotaka
Il give you everything
Una rangi ya chocolate magnetic romantic
Jinsi ulivyo humble baby
So sexy wanivuta zaidi
Kurudi nyumbani late me sitaki
(kurudi nyumbani late me sitaki)
Sababu nina wivu moyoni
Ukiwa mbali
(sababu nina wivu moyoni)
Wewe ndo fimbo yangu baby ongeza raha zaidi mamy
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Ni wewe tu tu baby
wewee
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
unanivuraga
Il give you everything
Nitafunga moyo wangu sitoki
Funguo nikukabidhi wee
Il give you everything
Nitakupa muda wangu na ndoto
Chochote unachotaka
Il give you everything
unanivuruga eeeh
unanivuruga vuruga
unanivuruga mama
unanivuruga eeh
unanichanganya
unanivuruga vuruga
sioni sisikii
unanivuruga eeeh
yani siwezi
unanivuruga vuruga
mama siwezi
unanivuruga eeeh
weeee
unanivuruga vuruga
unanivuruga eeeh
unaniiii........eeeeeh
unanivuruga eeh
unanivuruga vuruga
unaniii....vuruga
unanivuruga eeeh
unanivuruga vuruga
unaniiiivuruga
unanivuruga eeeh
unanichanganyachanganya
unanivuruga eeeh
unanivuruga vuruga
No comments:
Post a Comment