Saturday, April 14, 2018

Harmonize Happy birthday lyrics

HARMONIZE HAPPY BIRTHDAY LYRICS
Verse 1
Kwanza nina furaha,
Nitaimba na kucheza (na
kucheza)
Washa mishumaa,
Weka keki juu ya meza,
(juu ya meza)
Oh ila usinicheke,
Nimekuletea zawadi,
Kidogo nilichobarikiwa
Haki mwana mpweke,
Aje na dumu la maji asije
akumwagia
Ah nakapicha kao
nitakoposti,
Wasiokupenda
itawacosti,
Ah leo siku yako
nishajikoki,
Tuko rafiki zako
tunasema
Chorus
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Verse 2
Ah sinywagi pombe leo
ntalewa
Niwape shonde
waliochelewa
Zikinipanda monde
nitapepewa
Ah pembe la ng’ombe au
malewa
Ila usiforget, kusema
asante baba na mama
Walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa
wema
Akulinde baba Maulana
Twakuombea na dua
Ah na kapicha kako
nitakaposti,
Wasikupenda itawacosti,
Ah leo siku yako
nishajikoki,
Tuko rafiki zako
tunasema
Chorus
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Kata keki kata,
Kata
Ooh Kata
Kata
Kata unilishe
Keki ya jina lako, kata
Waoneshe na wenzako,
kata
Tupo kwa ajili yako ,kata
Kata unilishe
Ooh basi kata
Kata
OohKata
Kata nikuone
Kata unilishe
Kata
kata
Kata unilishe
Ooh nakapicha kako
nitakaposti

No comments:

Post a Comment