Wanasema sare sare maua tunafanana
Shida zetu wenyewe tunazijua tunaendana
Mwenzangu kamoyo kangu kadogo
Kukuru kakara kanashindwa
Hakuna manati bila kipago
Bila ya wewe nitashindwa
Macho yangu ninafumba
Sitamani mwingine
Na penzi langu sio tunda
Akang’ata mwingine
Shida zetu wenyewe tunazijua tunaendana
Mwenzangu kamoyo kangu kadogo
Kukuru kakara kanashindwa
Hakuna manati bila kipago
Bila ya wewe nitashindwa
Macho yangu ninafumba
Sitamani mwingine
Na penzi langu sio tunda
Akang’ata mwingine
Ado ado tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu
Kama mapacha ado ado
Tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu kama mapacha
Anameremeta anameremeta
Kasura kake kazuri anameremeta
Mcheshi hana kiburi anameremeta
Kanipa mtoto naringa anameremeta
Tumbo joto amevimba anameremeta
Domo macho ukaribu wetu
Kama mapacha ado ado
Tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu kama mapacha
Anameremeta anameremeta
Kasura kake kazuri anameremeta
Mcheshi hana kiburi anameremeta
Kanipa mtoto naringa anameremeta
Tumbo joto amevimba anameremeta
Suti na shela kama
Masihara harusi imefika
Sina papara ubachelor
Jiko nimevuta
Kiziwi kweli hasikii
Na kipofu haonii
Mi kuwa kwako sijutii utamu kisogoni
Litunze penzi langu mama
Maradhi ni mengi wee
Maji kupwaa nisije kuzama
Penzi sio vazi liazimwee
Masihara harusi imefika
Sina papara ubachelor
Jiko nimevuta
Kiziwi kweli hasikii
Na kipofu haonii
Mi kuwa kwako sijutii utamu kisogoni
Litunze penzi langu mama
Maradhi ni mengi wee
Maji kupwaa nisije kuzama
Penzi sio vazi liazimwee
Ado ado tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu
Kama mapacha Ado Ado
Tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu kama mapacha
Anameremeta anameremeta
Kasura kake kazuri anameremeta
Mcheshi hana kiburi anameremeta
Kanipa mtoto naringa anameremeta
Tumbo joto amevimba anameremeta
Domo macho ukaribu wetu
Kama mapacha Ado Ado
Tunajikongoja tutafika
Domo macho ukaribu wetu kama mapacha
Anameremeta anameremeta
Kasura kake kazuri anameremeta
Mcheshi hana kiburi anameremeta
Kanipa mtoto naringa anameremeta
Tumbo joto amevimba anameremeta
Anameremeta kasura kake kazuri
Mcheshi hana kiburi
Kanipa mtoto naringa (naringa)
Mcheshi hana kiburi
Kanipa mtoto naringa (naringa)
No comments:
Post a Comment