Tuesday, April 10, 2018

Madee - Hela

Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Habari gani jamani
Na hali ni gani
Mliopo duniani na mna raha
Game hatushindani na hatubishani
Nani ni Bingwa wa raha heeh
Siku hizi hela inakupa u star
Ni rahisi kumpinga hata Jah
Mwenye ela atakuhamisha Dar
Na akitaka hata jela utakaa
Hela imeleta hata vita imeua majita
Hali mradi balaa
Hela imevunja kanisa
Leo hakuna misa tunashinda bar
Yule kijana wa home sio star
Anatukana hata walio mzaa
Wivu tamaa na njaa
Ukiendekeza jua kidole utakaa
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Hii dunia ni njia na nishapitia
Na nakaribia kusepa
Wengi wanaisifia ila mi naichukia
Na naona ni ngumu pia kuikwepa
Basi nyinyi watoto someni
Ya akina wema kadinda komeni
Kesho mufike kule bungeni
Msiendekeze ya mabrazamen
Mengi nimepitia nikiwahadithia
Wengine mtalia sana
Ina mengi dunia usipoangalia
Watakutatisha tamaa
Eti Masaki kuna Mungu-Watu
Nje Jongoo kumbe nani chatu
Hivi nyie darasa la tatu
Mshaisoma hadithi ya kibantu
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Enyi nyinyi wadada wa mjini
Mnauza chini mnataka nini hela
Siwezi weka akilini chumvini mimi
Alafu nikupe hela
Kama wewe una act tom boy
Hata unshike kwa wapi huchojoi
Hata ufungue hii nati sienjoy
Nakula bati kuliko hata toy
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa
Hee – laa

No comments:

Post a Comment