Tuesday, April 10, 2018

Ray C ft. Chidi Benz - Nihurumie.

Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa)
Ukiniacha utanionea
Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa wangu eh)
Ukiniacha utanionea
Miaka mingi nimeishi na we
Toka kwenye shida mpaka kwenye raha
Laazizi leo usijegeuka
Ukafanya wenzangu wakanicheka
Nimeishi nawe, nimekupa raha
Bila kuwa nawe sioni raha
Nakuthamini we ni bora kwa mimi
Amini siwezi kudata na wa mjini
Mpaka milele sikuachi
Mi na wewe kama kidevu na mustache
Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa)
Ukiniacha utanionea
Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa wangu eh)
Ukiniacha utanionea
Siku dakika zimepita
Mi siwezi kukuchoka
Penzi letu uhakika
Udhu isiyochomoka
Usingizi wangu ni mimi
Huwezi lala bila ya wewe
Bila kuwa nawe mi sioni raha eh
Nami siwezi ndo maana
Siwezi kujaribu kukukana (braa!)
We na mi na mi na wee
Niko nawe kwenye msiba na sherehe
Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa)
Ukiniacha utanionea
Nihurumie wangu eh (nihurumie wangu eh)
Usiniache wangu eh (usiniache wangu eh)
Utanitesa wangu eh (utanitesa wangu eh)
Ukiniacha utanionea
Ukiniacha utanionea
Ukiniacha utanionea

No comments:

Post a Comment