Tuesday, April 10, 2018

Shaa - Promise

Nimepewa moyo wa kupatana na wewe
Nimepewa huruma najikuta na share-na wengi
Ulikosea nikakusamehe ukarudia vilevile
Woh oh oh ukarudia vilevile
Ukanipa jina mama huruma
Baada ya kusonga mbele narudi nyuma
Nah wala sikushangai
Nimejifunza na we ndo mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Nah kumbe ulinilaghai
Na ukanifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni maneno tu promise za uongo
Kosa gani nililofanya mpaka ugomvi unalazimisha
Kila siku usiku na mchana uishi kusema
Nieleze unataka niweje (mwanamke gani)
Au nini kwako nifanye niwe na thamani
Nieleze nini nifanye
Nah wala sikushangai
Nimejifunza na we ndo mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Nah kumbe ulinilaghai
Na ukanifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni maneno tu promise za uongo
Mwenzako nimepewa moyo wa kuridhika na we
Kwahiyo naomba nielewe nitaenda utakavyo wewe
Ukinipiga (it’s okay)
Ukinitukana (vilevile)
Nakusamehe nitakusamehe nishakusamehe
Nitavumilia naamini yatapita
Nitakuombea Mola uweze jirekebisha
Nah wala sikushangai
Nimejifunza na we ndo mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Nah kumbe ulinilaghai
Na ukanifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni maneno tu promise za uongo
Nah wala sikushangai
Nimejifunza na we ndo mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Na nimekosa amani
Amani imetoweka nyumbani
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Promise
Promise za uongo
Promise
Promise za uongo
Promise promise
Za uongo
Promise
Ahadi
Promise promise
Ahadi za uongo
Ahadi ahadi
Promise
Promise promise
Promise
Promise promise
Promise
Promise promise

No comments:

Post a Comment