Tuesday, April 10, 2018

Nay Wamitego – Saka hela.

Umezaliwa mwaka gani
2005
Mtoto wa juzi unakula ngano
Unapenda mademu kumbuka kuna gono
Ukiwa na hamu basi tumia condom
Hey toka kitaani kwa majangiri
We talk about money mademu nafasi ya pili
Nata na beat ka sio mashairi
Najenga ghorofa ndo maana nimekuwa bahiri
Hii salamu kwa mademu walonikataa
Tell them I got money ila sio papaa
Naishi ka Bob Marley ila sili ganja
I’mma rude boy new generation I say
Heyo ma-rap haters hamna hela
Hata ukizima beat mi napiga acappella
Na hela nyingi japo naishi kisela
Haters I’m sorry kama nawakera
Ehee (ehee)
Ehee (ehee)
Washa
Ehee
It’s time for the money
Ehee
Muda wa biashara tuwabane
Ehee
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee
Hizi ndo flow matata
Saka hela baadae tukale bata
Huna mkwanja noma kufuata fuata
Sura pesa bonge la demu matata
Bonge la demu matata
Nyie ma-zombie mnashindana na vampire
Mko bond mnaogea petroli mi nna fire
Hapa vumbi utawaka umekanyaga waya wee
Weka kambi vibaka wana mkaliwaya
Slow down punguza hasira
Usiwe na hila ngoma bila bila
Hold on tuliza mpira
Hii ndo time ya hela
Ngoma tena sio bila
Sista duu
Mbona unaniganda unanitaka
Ushasikia parapanda ingia chaka
Ni bosi toka kitaani sina time na ma-sucker
Hapa pesa sio tatizo mi najua kuzisaka
Nay umekuwa handsome
Sio G bonge la handsome
Mademu wakiniona wanapanda wazim
Dada ako akinitaka mi sitaki mkata stim
Na demu wako akinitaka namkamulia ndim
Ehee (ehee)
Ehee (ehee)
Washa
Ehee
It’s time for the money
Ehee
Muda wa biashara tuwabane
Ehee
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee
Wanapata homa
Kila wanapopita mi navuma
Balaa sirudi nyuma
Wanabisha ila namba wanaisoma
Heyo tulizaliwa free tunaishi free
Welcome tu my Free Nation uwi
Na-bang na Mr T kwenye ngoma hii
Tuna-hit bila promotion uwi
Ehee (ehee)
Ehee (ehee)
Washa
Ehee
It’s time for the money
Ehee
Muda wa biashara tuwabane
Ehee
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee
Owkay anaebisha na abishe
Wanangu wa kitaani niaje
Ee tusake hela
Aa mapenzi baadae
Na atakae kudhurumu
Kudadadeki pigana nae
It’s a 966 baby
Money makers
Make money
It’s time for the money
Boss from the street
Boss is right here
T Touch whats up
Free Nation

No comments:

Post a Comment