OMMY DIMPOZ CHECHE LYRICS
Ninawaza ni yule yule au
nimeona mzimu
Ulivyonipita kwa kasi ya 4G
Nilikuja nikusalimu
Simu nilipotezaga
Umenishow madharau najuta
Nayakumbuka yale mapele
nakukuna
Umejisweka kwenye shuka
Unaona aibu leo mashallah
Marembo ya china unayovaa
Kwa huo mkorogo ulivyongaaa
Umejichubua chubu
Labda ushamba wangu ndo
uloniponza
Ningeomba appointment ndo
ungeongea
Yaani na ndala zangu
nilivyongojea
Nikuone usoni tu umenishushua
Shushue shushu
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Na jina sishangai nilikosea
Umebadilisha unaitwa Queen wa
mapenzi
Na pia ulaghai umezoea
Kuwabadilisha wenye fedha me
mshenzi
Nayakumbuka yale mapele
nakukuna
Umejisweka kwenye shuka
Unaona aibu leo mashallah
Marembo ya china unayovaa
Kwa huo mkorogo ulivyongaaa
Umejichubua chubu
Labda ushamba wangu ndo
uloniponza
Ningeomba appointment ndo
ungeongea
Yaani na ndala zangu
nilivyongojea
Nikuone usoni tu umenishushua
Shushue shushu
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Nenda salama
Oh mama nenda
Nenda salama
Nakuombeaa
Nenda salama
Oh mama nenda
Nenda salama
Nakuombeaa
Mashairi ya bongo flava tovuti mpya inayojihusisha na kuweka mashairi ya nyimbo za wasanii wa Bongo Flava .
Saturday, April 14, 2018
Ommy dimboz cheche lyrics
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
😂😂😂😂
ReplyDelete