Tuesday, April 10, 2018

Nay wa mitego - Wapo

Unachokipanda leo ndicho utachovuna kesho
Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho
Najiuliza hivi ni nani kaiona kesho
Chapa mwendo na ukilala hauna chako
Hivi uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo
Usije kuongea vitu kesho ukajikuta sentro
Kuna viongozi wavuta bangi
Wapo
Maana wana maamuzi ya kise…
Wapo
Kuna waliommiss Jakaya
Wapo
Walio choka kuisoma namba
Wapo
Kuna walio poteza marinda
Wapo
Kuna wasanii mateja
Wapo
Kuna mademu wanasagana
Wapo
Kuna vidume wanalelewa
Wapo
Kuna wasanii wanarogana
Wapo
Kuna Radio na Tv naona zimeshapoteza CV
Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari
Wanapindisha pindisha tu kuiogopa Serikali
Siamini nchi inaendeshwa na kiki
Siasa inafunika muziki
Viongozi wanashindana kukiki
Wanagombea front page wauze kwenye gazeti
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti
Kuna viongozi wavuta bangi
Wapo
Maana wana maamuzi ya kise…
Wapo
Kuna waliommiss Jakaya
Wapo
Walio choka kuisoma namba
Wapo
Kuna walio poteza marinda
Wapo
Kuna wasanii mateja
Wapo
Kuna mademu wanasagana
Wapo
Kuna vidume wanalelewa
Wapo
Kuna wasanii wanarogana
Wapo
Kiongozi mwenye busara anapokea ushauri
Anapokea mawazo haweki mbele kiburi
Hey
Samahani mheshimiwa hivi unamjua Bashite
Hili ni jipu jipya toka Koromije
Limesha iva na usaa limeshatunga
Nakukabidhi sindano ya kulidunga
Daktari haogopi ukubwa wa kidonda
We si Dr wa majipu tumbua hakuna kuvunga
Kuvamia ofisi za watu kumbe nayo ni kazi
Hakuna noma wanangu pigeni kazi
Boda boda
Kazi
Bajaji
Kazi
Eti vipi
Kukaba nayo kazi
Refa ni wao piga manati
Vita ya Masai na Mmang’ati
Biashara ya ngono na super shaft
Pumzi imekata nashika shati
Kuna viongozi wavuta bangi
Wapo
Maana wana maamuzi ya kise…
Wapo
Kuna waliommiss Jakaya
Wapo
Walio choka kuisoma namba
Wapo
Kuna walio poteza marinda
Wapo
Kuna wasanii mateja
Wapo
Kuna mademu wanasagana
Wapo
Kuna vidume wanalelewa
Wapo
Kuna wasanii wanarogana
Wapo
Hahahahahaha
Wewe mtu gani sasa
Hutaki kushauriwa hutaki kukosolewa
Umerongwa wewe
Unajiona ndugu yake na Yesu ee
Oya
Wanangu eeeh
Round hii mtanyooka haki ya Mungu
Naona kichaa kapewa rungu

No comments:

Post a Comment