Umeninyanyasa kwa kutoa moyo natafuta
Bila ubaya usinitangazie vya ndani mama
Na isije kuwa vita
Sikuforce unipende usisahau
Nilikupenda sana
Siwezi kulipinga unafaham
Na ila nitunzie yangu madhaifu yangu ulioyaonaa
Japo sio wako tena aibu nitunzie
Halikuwa lengo langu
Tulivunje pendo me nawe
Najua sitoweza tena me naomba nitunzie
Mana niliahidi uhai na kifo hasa mapumziko nitakuwa nawe
ila mipango ya Mungu huwezi ipangua
Napowaona mashoga zako namc vituko nilipokuwa nawe
jaman mipango yake huwez ipangua

Nenda salama mama
we nenda usisahau
nilikupenda angalau
na madhaifu yangu unitunzie siri angalau
we nenda usisahau
nilikupenda angalau
na madhaifu yangu unitunzie siri angalau
we nenda usisahau
nilikupenda angalau
na madhaifu yangu unitunzie siri angalau
Yani naiona michoro kwa mikono yako
Ila siamini kwa nini uliamua uende zako aha
tena naiona taswira ya ule wema wako aah
leo umegeuka ndo fimbo unanichapa mimi aha
basi moyo wangu nakupa zawad baki nao
nahisi ctopenda tena me naomba nitunzie
mana nilijitoa kimwili akili uhai na kifo ntakuwa nawee
ila mipango ya Mungu huwez ipangua
napowaona mashoga zako
namc vituko nilipokuwa nawe
jaman mipango yake huwezi ipangua
we nenda usisahau
nilikupenda angalau
na madhaifu yangu unitunzie siri angalau
we nenda usisahau
nilikupenda angalau
na madhaifu yangu unitunzie siri angalau
ukitaka nirudie
ukiniona sifai nichunie
ama vipi unipuuze
ukiniona popote nipotezee

aaaaaaah aaaaaaah
aaaaaaah aaaaaaah
aaaaaaah aaaaaaah
ukiniona sifai nichunie
ama vipi unipuuze
ukiniona popote nipotezee
aaaaaaah aaaaaaah
aaaaaaah aaaaaaah
aaaaaaah aaaaaaah
Nice lyrics
ReplyDeleteWonderful lyrics
ReplyDelete