Tuesday, April 10, 2018

Ommy Dimpoz - Ndagushima

Si
First unavyoringa ringa unanichanganya we
Kama teja natinga tinga penzi lako starehe
Nitamaliza waganga wakunga ili usiniache we
Barua nishampa mshenga akifika ipokee baby
Kote nimeshapita ila wewe ndo unifaae
Ongeza ulichonipa mahaba yanivae
You’re my heart, my pain, my gain, I don’t lie eh
Aha! ‘Cause I love you baby
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Moyo wangu umependa penda, mahaba niongezee
Majaribu nashinda shinda sitamani wengine
Abiria mzigo nachunga penzi lisiningojee
Nimeshaonja utamu wa tunda, nipe tena nikolee baby
Kote nimeshapita lakini we ndo unifaae
Ongeza ulichonipa mahaba yanivae
You’re my heart, my pain, my gain, I don’t lie eh
Aha! ‘Cause I love you baby
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe we
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
‘Cause I love you baby
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Baby, baby, baby ndagushima cha
Oh ma naonaga hoteli nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho later mi nawe
Mubenga!
Ah! I love you baby oh
Bado, bado, bado, bado, bado, bado
Ah! I want to marry you oh
Bado, bado, bado, bado, bado bado
Ah! I love you baby oh
Bado, bado, bado, bado, bado, bado
Ah! I want to marry you oh
Bado, bado, bado, bado, bado bado
Ah! I love you baby oh

No comments:

Post a Comment