Tuesday, May 16, 2017

Shetta nimechokwa lyrics

Dar Stamina Baby (ooh ooh oh)
Mazoea yanatabu lakini yana mwisho wake
Mateso niliyompa yamefuta machozi yake
Mazoea yanatabu lakini yana mwisho wake
Mateso niliyompa yamefuta machozi yake
Kweli ya leo sio ya jana ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana ona (ona)
A to Z maumivu
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea
Sura yako inanipa picha kamili
Bila ya vitendo tayari nimeshaitabiri
Umekua mjasiri tena bonge la msiri
Hata kwenye tabu hutaki tusolve wawili
Aifanani na kiburi bali umechokwa na mimi
Sijiulizi kwanini umalaya nimeufanya dini
Hata mashoga zako nawinda niwavue bikini
Mi mkauzu kama mbuzi tena mchinjia baharini
Makosa yanajirudi na yote unayabaini
Ushahidi mpaka sibishi jinsi ulivyo makini
Machale mpaka nadought au unaongozwa na jini
Mana unamkamata mwizi kabla ya siku arobaini
Mmoja poa tu kwako si mali kitu
Kama ngoma ni local mithili ya mchiliku
Mpaka nahisi mafala washanipiku
Mkuki kwa binadamu zaidi ya uchungu wa jipu
Umekua mvivu wa kutimba mahome
Hata kwenye sex unanigomea ku
Drama kama filamu
Mpaka kwenye couple kutesa kwa zam zam meen
Kweli ya leo sio ya jana ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana ona (ona)
A TO Z maumivu
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea
Unasema nawapanga vigoli kama mswati
Umalaya upo ndani ya damu kamwe siachi
Please ebu nipe nafasi tudiscuss
Mapenzi ayahitaji kulipiziana visasi
Mwepesi kunijibu hautaki
Route zimezidi kama dereva tax
Day after day unazidisha masharti
Hata kiss la shavu hautaki mbele ya umati
Natapatapa bila hata ya kukabwa koo
Kisasi zidi ya uchokozi si punde utanitoa roho
Seke seke unazonipa ni zaidi ya ngoma droo
Maumivu yanafanana na hukumu ya death row
Malumbano vita kama cuf na ccm duh
Umenichoka mpaka nahisi npo kuzimu
Sometime ni shetani so haina budi tumrehemu
Lets forget about past please usinitoe damu baby
You gat true love mpaka najiona kavu
Nipo tayari kutubu na msahaafu
Ruksa nikirudia unibanike kama ndafu
Yeah dats watsup
Kweli ya leo sio ya jana ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana ona (ona)
A TO Z maumivu
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inaniuma inanichoma inanicho cho choma
Inanicho choma
Mazoea

No comments:

Post a Comment