Tuesday, May 16, 2017

Alikiba starehe gharama lyrics

Kama umechacha
Si utulie
Usitufuate wala bata
Usisikie la kuambiwa jua starehe gharama
Kamwe usiwafate wala bata ukiwa na hela ya ndama
Usinifate kwenye starehe usije ukanipa lawama
Ntakufuata huko kwenye ku-boost ikiwa gari lako limekwama
Usinihonge bia kama hujaja na mimi
Ushajijua huna huku umefwata nini
Mi usinipe lawama pindi nikikupiga chini
Embu nikumbushe mara ya mwisho nilikuja
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Usipende mademu wa bure ujue wana madhara
Usipende na pombe za bure ujue zina madhara
Ushajua hela hauna basi usitoke we lala
Usikae mpaka disco liishe ili upande daladala
Mtoto wa kike kavamia bia kilichomvuta
Mtoto wa kiume kaponzwa na bia kashika ukuta
Kaja na hela msiba club we kilichomkuta
Onesha wowowo (Tingisha kama imekwisha!)
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Ona, alivyoumbuka
Onanaaa, kimemshuka
Mmemwacha kalewa kazima kashtuka kumekucha
Ona, alivyoumbuka
Onanaaa, kimemshuka
Mmemwacha kalewa kazima kashtuka kumekucha
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oya kaa ukijua kwamba
Siku hizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio Coca ni pombe
Siku hizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio Coca ni pombe

No comments:

Post a Comment