Tuesday, May 16, 2017

Mapito mwasiti lyrics

Mmmh
Imma The Boy
Kosa kukueleza jinsi navyougua
Roho, moyo, pendo ayaaya
Kama ungeelewa, hili shamba lisingevunwa aah
Mazao yanafanana na kijiji ulichokwenda aah
Jinsia moja ila tofauti ni tabia aa aah aa
Ni we unaenifanya usingizi nakosa eeh
Ni we unaenifanya usiku nashindwa kulala
Ni we unaenifanya mimi nashinda kuwaza
Ni we unaenifanya mapenzi nayaona machungu
Na kufumba macho
Hata nikilia, machozi yanaanguka chini
Hakuna wa kuyakinga, wala yule wa kuyasitiri
Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh
Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo
Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh
Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo
(Moyo, roho ayaaaya)
Hata na mimi iih ii
Moyo, roho aya yaya
Nikikukosea nakubembeleza huku unacheka ha ha
Wanikumbatia, sura kifuani umeilaza ha ha
Kumbe kwako moyoni unimanya
Kenga suda duna kamwezi bwana
Kumbe kwako moyoni unimanya
Kenga suda duna kamwezi bwana
Ungefumania hata sura nisingenyanyua ah ooh
Sometimes I feel bora nikaishi mbali
Mapenzi ni ya wawili jamaaa
Eeh
Moyo, roho ayaaya
Ni we unaenifanya mimi nashinda kuwaza aah
Ni we unaenifanya mapenzi nayaona machungu
Na kufumba macho
Ni wewe baby
Ni we kichunda changu
Ni wewe baby
Ni wewe, ni wewe, ni wewe, ni wewe, ni wewe kichuna changu
Jua ni wewe (iiih) ulenipa ufalme wa mapito oh oh
Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo
Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh
Acha niwaze ukarimu wako na upole ndio chanzo
(Moyo, roho ayaaya)
Hata na mimi iih ii
Moyo, roho aya yaya
Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh oh
Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo
Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh oh
Acha niwaze ukarimu wako na upole ndio chanzo
(Moyo, roho ayaaya)
Hata na mimi iih ii
Moyo, roho aya yaya

No comments:

Post a Comment