Tuesday, May 16, 2017

Abdu kiba huyo sio demu lyrics

Kwanza ukimtazama, anaenda na mambo uliyoyaskia
Moja mzuri sana, na pili yeye anavutia
Kiumbo, yeye anavutia, kisura inshallah mola kamjalia
Ana mwendo wa kimiss, mi napenda anavyotembea
Hata kama wakimdiss mimi bado namfukuzia
Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia
Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea
Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia
Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea
Kakudanganya wa Oysterbay wakati anakaa Manzese
Halafu we mwenyewe una furaha
Usimwamini, kumpa moyo ye usije kulia
Usimwamini, kumpa moyo we utaja niambia
Yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya
Oh we angalia
Yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya
Aii we angalia
Ye ni bingwa wa viduku, kwenye vigodoro aisee
Hana maana huyu demu
Ye ni bingwa wa viduku, kwenye vigodoro aisee
Hana maana huyu demu
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Aaah, (nasema huyo so demu)
Mmhh, (nasema huyo so demu)
Aaah, (nasema huyo so demu)
Uuh, (nasema huyo so demu)
I know, siwezi laumu moyo kumpenda yule
Alisema mtoto mdogo na bado ye yuko shule
Jamani mi, nampendampenda yeye
Jamani mi, namtakataka yeye
Jamani mi, nampendampenda yeye
Jamani mi, namtakataka yeye
Ingawa walisema, bingwa wa viduku
Na wengine wakanena, bingwa wa vigodoro
Ingawa walisema, bingwa wa viduku
Na wengine wakanena, bingwa wa vigodoro
Si lengo langu kukupiku no
Nasema kweli huyu demu soo
Usijipe moyo, utakoshwa roho
Yule so demu wa kusizi nae ma-home no
Nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaaa
Usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia
Nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaaa
Usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Huyoo, (nasema huyo so demu)
Aaah, (nasema huyo so demu)
Mmhh, (nasema huyo so demu)
Aaah, (nasema huyo so demu)
Uuh, (nasema huyo so demu)
Huyo huyoo, oooh eiieeh
Huyo huyoo
Huyo so demu, mi mwenyewe namjua
Hajui kukataa wanasema kaumia
Hana mapenzi ya kweli anachojali ye shillingi
Kudadadeki mapenzi hayashughuliki
Kama kweli unampenda we mpende tu maradufu
Ila huku kitaa wanamgonga hata kwa buku
Huyo sio demu (huyo huyo), demu wa kitaaa
Huyo sio demu (huyo huyo), demu wa masela
Aaah, (nasema huyo so demu)
Mmhh, (nasema huyo so demu)
Aaah, (nasema huyo so demu)
Uuh, (nasema huyo so demu)
(Huyo huyo)
Tafuta mwingine, ila kama unampenda komaaa nae
Ila kubembeleza sio kukuambia ku give up, so tell em bro
Love is a beautiful thing, but sometimes love is crazy man
Hahaha

No comments:

Post a Comment