Tuesday, May 16, 2017

Hatuendani Belle 9 lyrics

Yeah
Yees that’s right
That’s classic song
River Camp soldier’s in a building
Dar 69
Nikki Wa Pili with my boy Belle 9
We on fire we on fire
Believe dat believe dat
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi siweziii
We mtu mzima we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
We mtu mzima we mtu mzima iiih
Hatulingani mi nawe hatuendani
Twende
Ku-play DVD kwenye tape deck
Haiwezi vipi mi unipe headache
Wa 60 na 80 hatuwezi make
Kabla sijahema sana washakugema mafataki
Najihisi ukinikiss nauhitaji mswaki
Sikutaki hauna ladha
Unaponikumbatia unipa mawazo ya Angaza
Shikamoo unakaza umri ka maza
Na mi sio father ni vipi ntakuliwaza
Nikurudishe ujana mi sio Maulana
Nirudishe utoto nasema nakutukana
Mi ni sugar kwenye fani sio sugar kwa ma-mummy
Hey don’t try me
Unataka kunikuza unataka kunifunza
Au unataka kumlipiza mumeo kum-revenge
Kama game ilisha-change hata umri umechelewa
Katunze vizuri hao watoto mliopewa
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi siweziii
We mtu mzima we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
We mtu mzima we mtu mzima iiih
Hatulingani mi nawe hatuendani
Wasanii tuheshimike na
Wasanii tusife na wanawake tunaokesha kuwafungua kama opener
Good boy vipi
Niaje ni vipi Umezipenda Basi kanunue CD
Na sio ajenda za kutongoza wasanii
Kununua wasanii si huburudisha watu
Si sio waume wa watu
Mi natafuta kazi sitafuti mzazi
Bi shangazi tafadhali
Unataka kuniweka ndani what’s up mi sio mwali
Japo kitu sinaga ntaendelea kuwamwaga
Vita ya mihogo na burger
Inawezekana tukiboresha hizo swagger
Usinitangulizie hela usiniletee usela
Tena uache kunieleza na utoke kwa hii meza right
You’re my mother from another father hey
I’m your son from another mother okay
Nikki baby
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi siweziii
We mtu mzima we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
We mtu mzima we mtu mzima iiih
Hatulingani mi nawe hatuendani
Mi hucheza juu ya beat mi sichezei mabinti
Mi sichezei mamaza kwa hiyo mantiki
Mi na staili za ku-flow sina staili za kwenye vioo
Tukutane kwenye show get close get the picture
I’m the best teacher I’m the best picture
For the best future for the best…
‘Cause I’m the best picture I’m the best teacher
For the best future for the best future
Nawaza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwa wapenzi siweziii
We mtu mzima we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
We mtu mzima we mtu mzima iiih
Hatulingani mi nawe hatuendani
Hatulingani mi nawe hatuendani oohh
Hatulingani mi nawe hatuendani
Hatulingani mi nawe hatuendani oohh
Hatulingani mi nawe hatuendani

No comments:

Post a Comment