Tuesday, May 16, 2017

Alikiba chekecha chekatua lyrics

Jamani
Mi nataka saule
Kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo bilinge bayoyo bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini
Yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Aya Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Aya chekesha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekesha cheketua
Cheke chekesha cheketua cheke
Masia Uluso kitaa Abby Daddy
Penzi alinipa mama
Nami leo nakupatia
Tena sitaki lawama
Penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia
Nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo bilinge bayoyo hivyo mi ndo nataka taka sana
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini
Yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini
Yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Aya Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Chekecha
Aya chekesha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekesha cheketua
Cheke chekesha cheketua cheke

No comments:

Post a Comment